Muhimu Emanuel Nchimbi kwasasa changamoto zake hazijawekwa wazi
Kuna fununu nyingi
Tujipe muda kidogo tutajua
Kinagaubaga
Emanuel Nchimbi kajikwaa wapi
Watanzania matatizo yetu ni yale yale
Tunapenda kuwavisha Utakatifu binadamu wenzetu ❌️
Pasi kuwa watulivu wenye shauku ya kutaka kujua mtajwa kafanya nini
Dk Emanuel Nchimbi hakujiteuwa ile nafasi ya Makamo✅️
Huwezi leo sema Rais Dk Samia Suluhu Hassan hakuusika kuteuliwa kwake Dk Nchimbi
Kwanini leo iwe tofauti ‼️
Wananchi tunapaswa kuzieshimu Mamlaka zetu na kukitokea jambo kama hili sote tunapaswa kusubiri kile tutasikia kutoka kwa Mamlaka zenyewe👈
Lkn makosa yetu tunaanza kuziamini taarifa FAKE❌️
madhara yake zikija taarifa za kweli kumuusu mtu huyo huyo tunaanza kuzipinga‼️
manake sasa tunapinga taarifa Rasmi
Na kuzibeba taarifa za uchochoroni kama ndio taarifa Rasmi
Jamii zenyewe zinakosa
kuelewana kwenye jambo
moja❗️
huyu anasema lile huyu vile
Tuwe na subra nchi hii hakuna mwenye kuonewa yoyote 👈
Lkn Kila mmoja wetu atavuna
alichopanda mwenyewe✍️