Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,139
hakuna atakayejiuzulu hapo...sio utamaduni wa walafi wa madaraka,mwinyi alitakiwa ajiuzulu matokeo yake kabadilishiwa wizara...hajiuzulu mtu,..
Huyu 'ngesem' namchukia sana,amezoea kuua,wanaosema amewekwa kwenye hiyo wizara makusudi kwa lengo hilo wako sahii kabisa.Alishiriki kikamilifu kumuua Ipyana Malecela,na kama anataka tuweke uozo wake hadharani basi ajaribu kugombea urais aone."I hate this particular silence killer"Hawezi jiuzulu huyo mfakamia tumbo
labda agombee kwa wangoni wenzie na sio tz nayo ijua mimiHapo kwenye red,atakuwa anaota
yeye mwenyewe ndiye anayewaagiza wafanye hivyo,chagonja amesema wao wanatii maagizo waliyopewa na wakubwa wao.Rais Mwinyi alijiuzulu akaja kuwa rais wa nchi hii kwa kuwa alionekana ni mwajibikaji, kama unataka kujenga imani ya watanzania kwako, achia ngazi haraka. Vinginevyo kupata urais labda ulete alshabab waibe kura
Emmanuel Nchimbi mpaka sasa hujaona sababu ya kujiuzulu? Je unafurahia mauaji haya?
Mbaya zaidi unakuja na matamko yenye utata kuhusu haya mauaji. Hivi ni lini viongozi wa nchi hii mtaacha kuwa wanafiki na msiopenda kuwajibika. Na mbona matukio ya wananchi kuuawa na polisi yameongeza sana baada ya wewe kupewa hii wizara? Kwa nini tusiamini kwamba ulipewa hii wizara kwa kazi ya kuua watanzania? kwa nini tusiamini kwamba wewe ndio unatoa maagizo ya mauaji haya.
Nasikikia una mpango wa kugombea urais 2015, hivi ukipewa madaraka si ndio utachinja watu hadharani. Hii haikubaliki, Nchimbi lazima uondoke!!!!

Rais Mwinyi alijiuzulu akaja kuwa rais wa nchi hii kwa kuwa alionekana ni mwajibikaji, kama unataka kujenga imani ya watanzania kwako, achia ngazi haraka. Vinginevyo kupata urais labda ulete alshabab waibe kura
Labda atatangaza kujiuzulu leo maana nasikia ameitisha mkutano na waandishi wa habari mchana huuEmmanuel Nchimbi mpaka sasa hujaona sababu ya kujiuzulu? Je unafurahia mauaji haya?
Mbaya zaidi unakuja na matamko yenye utata kuhusu haya mauaji. Hivi ni lini viongozi wa nchi hii mtaacha kuwa wanafiki na msiopenda kuwajibika. Na mbona matukio ya wananchi kuuawa na polisi yameongeza sana baada ya wewe kupewa hii wizara? Kwa nini tusiamini kwamba ulipewa hii wizara kwa kazi ya kuua watanzania? kwa nini tusiamini kwamba wewe ndio unatoa maagizo ya mauaji haya.
Nasikikia una mpango wa kugombea urais 2015, hivi ukipewa madaraka si ndio utachinja watu hadharani. Hii haikubaliki, Nchimbi lazima uondoke!!!!
Na mwenzake Adamu Malima muongeze kwenye listKati ya mawaziri wasiojielewa huyu ni mmoja wapo