Nchiii iliyo barikiwaaa onaaaa....

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
hiii ni pride ya simbaa.



migration

hawa ni big 5,ilaa kifaru wamekuwaa adimu sanaa,ndo maana sijamuwekaa.picha hizi nilipigaa mbugaa mbali mbali,manyara,serengeti.ngorongoro na tarangire.nchii hii imebarikiwaa jamani
 

Attachments

  • IMG_3979.JPG
    445.4 KB · Views: 37
  • IMG_3729.JPG
    619.1 KB · Views: 43
  • IMG_3744.JPG
    495.1 KB · Views: 48
Watazidi kuleta hii kitu kuwasomba kupitia KIA bila jeshi wala wizara ya utalii kudhibiti hili;
 
Nice pic anyway
<br />
<br />
 
unanunuaa swalaa unapewaa twigaa na simbaa Nyongezaa.unajua bi mkora kitu gani?KIA kidogo ngumu..kunaa hawa warabu wa loliondo majamaa wanaa chukuaa wanyamaa mpakaa basiii.wanavibalii halalii vya kuwindaa na aruhusiwi mtu kuingia eneo lao,wanakiwanjaa cha ndege binafsi
Watazidi kuleta hii kitu kuwasomba kupitia KIA bila jeshi wala wizara ya utalii kudhibiti hili;View attachment 36723
 
Hakika siku ya mwisho mungu atatuuliza. Tumejaaliwa maliasili ya kutosha, tumekosa utashi wa kuzitumia.
 
Ni kweli mkuu nchi yetu ya Tanganyika ni barikiwa ila tunao viongozi wanaotumia masaburi kufikili ndiyo maana inatia huruma kuona utajiri wetu unatumika kuitajirisha Kenya kwa kisingizio cha Jumumia hawa jamaa wanajenga kiwanja cha ndege Taveta huko alafu sisi tunabakia kujivua gamba, huku watendaji wavivu wa wizara wakiuza utajili wetu kwa waarabu hii mbaya sana.
 
B'Real kama ndo ivi inabidi nikanunue kware ili nipewe nyongeza ya mbuni na tausi. hahaha kazi kwelikweli.
 
asante ...
usikute zaidi ya 50% ya wa TZ hawajawahi ona
hivi vitu vizuri vituzungukavyo ...
 
Haya madude yakijakugundua kuwa hatuyatumii ipasavyo na kwamba tunayauza hovyo bila ya ridhaa yao patachimbika. Najaribu kuimagine yakijiorganize na kutufuata huku town kudai haki zao sijui tutakimbilia wapi?
 
asante ...
usikute zaidi ya 50% ya wa TZ hawajawahi ona
hivi vitu vizuri vituzungukavyo ...
ni kweliii afro...kunaa siku nilikuwa na wageni flani,katikaa mahojiano na mtu wenye tour operoter mjini,akaulizwaaa ushawaii kupandaa mlimaa kilimanjaro?jamaa akasema hajawai,na kampuni yake ina miaka kumii na tatu sawaa inadeal na kupandishaa wageni mlimani,wageni walishangaa sanaaa,yeyee ametokaa mbalii na kasave labda kwa miaka mitano kujaa kupanda kilimanjaro alafu mwenyejii anae wasafirisha hajawaii.{shame} tuache hayo hapaa tulipo kunaa wengi sanaa hawazijui mbugaa zetu,ipi ni national park ipi na game reserve.watanzaniaa tufanyee utalii wa ndani sisi wenyeweee sio mpalaa mtalii akupe ofaaa
 
Uwindaji wa tembo umeshamiri nje ya hifadhi za taifa..hifadhi hazina bajeti za kutosha wala vifaa vya kutosha kudhibiti. Baadhi ya maeneo mkoa wa manyara,hasa manyara corridor which connects Tarangire, manyara NP and Ngorogoro CA hali ni tete
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…