Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
phd.jpg
 
bila shaka itakuwa inaoongoza. Haiingii akilini izidiwe na South.
Souz wako mbali wewe,kuna vitu vingi wanawazidi ata nchi nyingi za Ulaya,so usiwabeze!!!wachina hawana desturi ya kusoma saaaaana,wao wamebeza kuzisaka sent zaidi thats why unakuta kiwanda kimeajiri ukoo wao tu na hao hao ndio wamiliki wa kiwanda.Kuna jamaa yangu wana kiwanda cha kushona suruali za jeans na waajiriwa wote ni ndg!
 
Duh kumbe China hadi PhD zao feki!!
Hapana mkuu,

Wachina wamewekeza sana kwenye tertiary education.
( Certificate & FTC/Diploma)

Hasa hasa kwenye vyuo vya ufundi

Ndo maana wakija uku bongo, ukiwa na degree ni ngumu kuajiliwa na mchina.

Kwa wachina,
Degree level, ni MTU mkubwa sana kitaaluma.

Na atahitaj salary na posho ndefu sana.
 
Back
Top Bottom