Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
bila shaka itakuwa inaoongoza. Haiingii akilini izidiwe na South.Nilitarajia kuiona China ikiwa ndani ya 5 bora, maana sio kwa viwanda na maendeleo yale wallah
Kuna wengine hata hiyo chabo imewashinda mkuu.China wataalamu wa chabo
China ni wasanii sana, wao hukopi technology za watu na kutengeneza feki.
Nafikiri wana akili ya asili (ujanja wa kuangalia na kuiga).Nilitarajia kuiona China ikiwa ndani ya 5 bora, maana sio kwa viwanda na maendeleo yale wallah
China mbona haipo?
Kwa China, ukiwa na diploma wee ni mtu hatar sanaNilitarajia kuiona China ikiwa ndani ya 5 bora, maana sio kwa viwanda na maendeleo yale wallah
Souz wako mbali wewe,kuna vitu vingi wanawazidi ata nchi nyingi za Ulaya,so usiwabeze!!!wachina hawana desturi ya kusoma saaaaana,wao wamebeza kuzisaka sent zaidi thats why unakuta kiwanda kimeajiri ukoo wao tu na hao hao ndio wamiliki wa kiwanda.Kuna jamaa yangu wana kiwanda cha kushona suruali za jeans na waajiriwa wote ni ndg!bila shaka itakuwa inaoongoza. Haiingii akilini izidiwe na South.
Hapana mkuu,Duh kumbe China hadi PhD zao feki!!