Nchi zinazomtumia ndege eagle kama symbol yao

Nchi zinazomtumia ndege eagle kama symbol yao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,685
Reaction score
57,109
Aidha utamkuta kwenye nembo au kwenye bendera.

Mexico
Albania
Moldova
Egypt
Germany
Kazakhstan
Montenegro
Russia
Serbia
Austria
Poland
Romania
United States
Armenia
Czech Republic
Liechtenstein
Zambia
Sina uhakika na Korea pia ila Albania ndo kama nchi ya eagle haswa.eagle kwenye masimulizi ya kale ktb biblia au pia Tu maisha yake kwa ujumla NI ndege mwenye uwezo Sana wa kulinda watoto wake.so nchi kutumia huyu ndege maana yake wanaapa kulinda wenyenchi.ndo maana katokea mara nyingi Sana kama symbol ya nchi nyingi kuliko wanyama wengine.
 
Back
Top Bottom