Nchi zilizopiga hatua katika nyanja ya elimu dunani,sifa za mtu kujiunga chuo kikuu ni zipi?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Naomba mfano wa nchi zilizopiga hatua katika swala zima la ubora wa elimu duniani na viwango wanavyotumia kama minimum qualifications za mtu kujiunga na shahada ya kwanza.

Nchi nazoziongelea hapa ni zile ambazo zinatenga bajeti kubwa kwa ajili ya elimu,zile ambazo zina miundombinu bora ya elimu,zile ambazo walimu wanalipwa vizuri,zile ambazo mtu kuwa mwalimu ni lazima uwe na ufaulu mzuri,n.k.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom