Tuwasubiri kina Ruge na Kusaga waone haya kwani wakishaona wataanza kutafuta mapunda/kunguru wa kuwatumia, watawavalisha na kuwatungia nyimbo za pipi kijiti kisha baada ya miezi utasikia kijana mwingine wa kibongo kafia Sweden ama South madawa yamempasukia tumboni na Clouds kujitolea kusafirisha mwili wake mpaka Tanzania. Subirini tu. Kuishi Tanzania ni kuona mengi.