Nchi zenye speed kubwa zaidi ya internet Afrika

Inasikitisha tanzania bado mnachezea less than 2mbps, uchumi kwenye tech utakua kweli?
Miaka mitano sasa natumia Google Fibre 1Gbps nishasahau hata kama kuna sehemu wana matatizo ya internet, kustream 4K netflix au youtube ni kugusa tu hakuna buffering. Kitu kama internet, maji, umeme ni matatizo wenzetu walishasolve miaka, sisi bado hata kuanza ni kama tunajifikiria bado.
Hapa ndio umerudi mda huu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom