Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
If I'm not mistaken, we used to have a connection speed of about 10Mbps, some years back before we wrere connected to the National Backbone, popularly known as Mkongo wa Taifa. Kwenye around 2006 nadhani tukawa tumeunganishwa kwenye huu mkongo na speed ikawa iko marvelous. As of recent, hata 1Mbps ni shida kuipata, unless uwe unatumia private, wa hawa wenzetu ambao ni cellphone provider. sasa mimi nimekaa nikiwa najiuliza maswali kwamba hii bandwith huwa inakwenda wapi? Hata kama mtandao wetu uwe labda possibly congested sana but I'm optimistic kwamba our connection speed cannot go that low, despite the congestion issue
Kwanza nichukue fursa hii kupongeza juhudi za kuongeza kasi ya INTERNET
4G bongo changa la macho.depends on the network you use and your location. here we are discussing 4G network
Halotel nimepata 9.7mbps. Tigo nimepata 970kbps.Ingia kwenye simu yako, then type FAST.COM
Sijakuelewa? Unamaanisha kuna congestion kwenye mitambo kati ya data za kawida na zile za sauti?Uwezo wa mitambo yao ni mdogo kwahiyo unakuta ni mwendo wa voice kwanza data baadae.
Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine,
Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni:
1 Singapore 60.39Mbps
2 Sweden 46.00Mbps
3 Denmark 43.99Mbps
4 Norway 40.12Mbps
5 Romania 38.60Mbps
6 Belgium 36.71Mbps
7 Netherlands 35.95Mbps
8 Luxembourg 35.14Mbps
9 Hungary 34.01Mbps
10 Jersey 30.90Mbps
Atlas book imeiandika Tanzania kuwa na avarage speed ya 2.34Mbps kwa mwaka 2018 kwa report iliyoandikwa mwaka 2019 July
Fastest internet connection (country)
Sijakuelewa? Unamaanisha kuna congestion kwenye mitambo kati ya data za kawida na zile za sauti?
Jersey ni nchi mpya? Naomba kujuzwa maana wakati nasoma sikuwahi kuisikia.