Nchi za Zambia, Malawi zimefanya mageuzi ya kiutawala, lakini hali za raia bado ni mbaya

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,385
15,947
Nimeona watu wanaanzisha mada nyingi za kuhusu mkutano mkuu wa CCM uliomalizika leo

Watu wanalalamika kuwa CCM ndio chanzo cha matatizo wengi walienda mbali zaid na kusema katiba mpya ndio dawa yao.

Ndipo niwaulize wadau vip hzi nchi kama Malawi, Zambia, nk wote wamefanya mabadiliko ya kiutawala yaani kubadili uongozi kutoka chama tawala kwenda upinzani na upinzani kwenda utawala lkn bado hali za rai wao ni mbaya sana kuzidi hat huku kwetu yaani hkn mabadiliko pmj na kwamba wana katiba mpya na uongozi unaojali utawala wa sheria lkn bado hali ya kiuchumi ni mbaya sana nin tatizo?

Je ni kuondoa ccm ndio tutapiga hatua kubwa kimaendeleo?

Hali ya kenya na Tanzania zote zinafanana kenya wao ufisadi ni mkubwa sana pmj na kwamab wana katiba nzuri na mahakama zilizo huru ila kwa ufisadi kenya ni namba moja je hizi katiba zi changalamacho tu?

Naiona ccm ikitawala kwa miaka 100 mbele kwann nasema hvyo kwa sababu sas hv hkn mpinzani anakozoa yanayoendelea wala kukemeaa ufisadi unaofanywa wasiwas mfno mabehewa ya sgr ,mindege inayokamtwa kimichongo hakuna mpinzai anapaza sauti kukemeaa wamekaa huko canada na ubeligiji wakisoma phd zao 🤣

Baada ya kusema hao nawasilisha
Chunya, Mbeya
078454550
 
Mada na hoja kama hizi uwa zinaandikwa na wapuuzi na wajinga. Sitaki kuamini kama na ww upo kati yao.
 
Ndiyo maana unakaa chunya mbeya, nazani makongorosi, ule wako uje ukanyage mjini, cha moto utakipata
Mkuu niko saza hapa jirani kabsa na mkuu wa wilaya yetu bwana simalenga yule aliye mlamba makofi yule mwanafunzi malaya
 
Back
Top Bottom