Baada ya uvamizi wa Syria na Iraq nchi za magharibi zinajiaanda kuivamia Libya. Syria iliomba msaada wa kijeshi kutoka Urusi ili kuiwwezesha Syria kuwapiga magaidi kama ISIS/ISIL/DAESH, Al-Nusra Front, FSA etc.. Msaada wa urusi umeleta matumaini kwa serikari ya Assad baada ya kushuudia kudhibiti maeneo mengi yaliyokuwa chini ya udhibiti wa magaidi baada ya hapo magaidi hao kwa sehemu kubwa wameanza kukimbilia nchi tajiri ya mafuta Libya. Hivyo kupelekea nchi za kimagharibi kujiandaa kuivamia Lybia, lakini pia wakiwa na lengo la kuingoa serikari ambayo hawaiungi mkono na kuiacha serikali moja pekee ambayo wanaiunga mkono.
SOURCE: Here We Go Again: Western Powers Preparing for New Invasion of Libya?
SOURCE: Here We Go Again: Western Powers Preparing for New Invasion of Libya?