Hata Zanzibar ni secular state in theory. Hata Eypt ni hivo hivo. Lakini in essence ni nchi za Kiislam. Vita ya sasa Iraq ni ya kidinikati ya Shia na Sunni. Sasa usecular wake uko wapi?Kiufupi nchi inayotawaliwa kwa sharia ndo ina qualify kuitwa nchi ya kiislamu.irag ni secular pia syria.
Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
Mwana jukwaa, unachoona hapo ni symtoms of problem na ingelikuwa vyema kama ungeangalia zaidi Causes of problem kwani hicho ndicho kinachoweza kuonyesha uhalisia wa vita hizo zinazoendelea huko na kuweza ku-reflect kama zinaweza tokea Tanzania au laa.Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
si vita ya kidini,ni siasa tu baada ya rais wa irag ambae alikua msuni kushitakiwa kwa rushwa,aliususa urais na akaandoka na kukimbilia eneo la wakurd akitoa ahadi ya kurudi kwa revenge.Hata Zanzibar ni secular state in theory. Hata Eypt ni hivo hivo. Lakini in essence ni nchi za Kiislam. Vita ya sasa Iraq ni ya kidinikati ya Shia na Sunni. Sasa usecular wake uko wapi?
Hapo hakuna nchi ya Kiislam hata moja sijui kama unajua maana ya nchi za Kiislam wewe ukiona raia wake wengi ni Waislam unaropoka tu bila ufahamu.Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.
Mfano.
1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.
Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.
2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.
Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.
3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.
Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.
Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.
Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.
Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??
Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.
Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.
Islam is the best way of life.
And currently islam is the leading religion spreading throughout the world
Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.
Mwana jukwaa, unachoona hapo ni symtoms of problem na ingelikuwa vyema kama ungeangalia zaidi Causes of problem kwani hicho ndicho kinachoweza kuonyesha uhalisia wa vita hizo zinazoendelea huko na kuweza ku-reflect kama zinaweza tokea Tanzania au laa.
Ninachokumbuka ni kwamba Mwaka 1992 vita ilianza Somalia baada ya marekeni kuingiza mjeshi yake huko na kuyatoa baadae baada ya wasomali kushika baadhi ya wanajeshi wa marekani na kuwaburuza kwa magari hadharani, pia mwaka 2003 vita iliingia Iraq baada ya mmarekani kudai saadam ana mabomu angamizi ya Alsamud, pamoja na G8 kupinga iraq kupigwa lakini Marekani ilijiingiza vitani na mpaka leo hawajaweza kutuonyesha hata kipande cha bomu la alsamud, ukifika pale Pakistan ndio usiseme Mmarekani alikuwa anamtafuta Osama bin Laden akidai ni gaidi wa dunia na kuangamiza raia wasio na hatia. Hata hivyo Juzi marekani katia timu pale Libya akidai Gadaf anawanyanyasa raia wake na hivyo anaenda kuwaweka huru. HIVYO KUSEMA NCHI ZA KIISLAM ZIKO KATIKA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE BADO INAHITAJI HOJA ZA KUTOSHA KWANI MWANZO WA VITA HUANZISHWA NA MAREKANI. We angalia jinsi anavyoiandama Iran kwa kisingizio cha vinu vya nuclear, tusishangae kesho na kesho kutwa kuiona marekani ikiingiza majeshi yake huko.
Uzuri wa kujifunza ni kutoa kwanza bias moyoni na katika fikra na kuanza tukio toka chokochoko zinaanza mpaka hali ilivyo sasa.
Nchi zote hizo ulizotaja sio nchi za kiislam,ila ina idadi kubwa ya waislam.Nchi hizo zote zinaendesha serekali zao bila kufuata uislam.Nimeangalia BBC leo na kupata habari mbaya ya vita vya Iraq. Then zikaja habari a vita huko Afghanistan. Then vitahuko Pakistan jimbo la Waziristan na malaki ya wakimbizi. Iraq ndo usiseme tena. Ukienda Nigeria ya kaskazini Boko Haram wamepandisha mori kuua kila mtu.
Hii ikanifanya niingie Google maps na kuangalia ni maeneo yepi yameathirika na vita. Nimeshituka sana. Kumbe karibu asilimia 95 ya nchi za Kiislam ziko kwenye mapambano! Mapambano ya wenyewe kwa wenyewe au na wengine, alimradi ni vita tu! Kuanzia Somalia, Mali, Egypt, Libya, Afrika ya Kati, Sudan, Palestine, Syria, Iraq, nk. Karibu nchi zote za Kiislam isipokuwa Yemen, Oman, Saud Arabia na Qatar na UAE.
Hapo ndipo najiuliza: Tutapona na Zanzibar? Zanzibar ni nchi ya Kiislam, huo ndio ukweli. Je tutaweza kuicontain ndani ya muungano huu auni vyema tuwaache waende zao ili wasijeleta vita kama nchi nyingine za Kiislam?
Je inawezekana muundo wetu huu wa muungano ndio umesaidia tuwe na amani zaidi, however relative it is? Inawezekana kuwa kama tusingekuwa na huu muungano tungeona mabomu mengi aidi huko Zanzibar?
Naomba tujaribu kufikiri vizuri na tusilete sentiments za kijinga za udini tukikumbuka kuwa hata Egypt na Zanzbar na Iraq kuna Ukristo na makanisa yao.
Hizo vita zinazoendelea katika hizo nchi za kiislamu zimesababishwa na nchi za kikristo.
Mfano.
1.USA na washirika wake walideploy majeshi miaka kadhaa iliyopita na kuyapeleka iraq na middle east kwa kigezo kwamba kuna weapons of mass destruction kitu ambacho hadi leo wamekosa kukipa backup ya ushahid.
Wakazivamia nchi zile kumbe nia ni kuiba mafuta mwshowe wamepandika makundi yanayogombana yenyewe kwa wenyeewe na kuacha political instability kama ile.
2.Wakaenda libya nchi ambayo ilikua politically stable na kuivamia kwa kigezo kile kile cha uongo ili mradi waibe mafuta and yes they did.
Nato na washirika wake ambao ni nchi za kikikristo wakaivamia nchi ile our sister african country and guess what hakukaliki kule hao wote wakristo wamesababisha hivyo.
3.Wakaona hiyo haitoshi wakaunda group kama boko haram under CIA kisha wakaipa jina lao na kulinasibisha na uislam kisha wakalidump nigeria kwa sababu zile zile za oil.
Kumbuka huko ndiko kwenye utajir wa mafuta ili mradi tu wafanikiwe nia yao ili kutimiza malengo yao baadae waache political instability km kawaida yao.
Aibu sasa imeanza kuwashika baada ya watu wenye akili kuanza kugundua fitna zao.
Zipo ncho nyingi tu zenye waislam na kuna aman tu.
Infact uislam upo dunian kote iweje tusiskie vurugu sehemu kama Makkah ambako ndiko center ya kukutana waislam worldwide every year??
Acheni mambo yenu ya kutaka kuuchafua uislam.
Ulikuepo utawepo na utazid kuendelea kuwepo.
Islam is the best way of life.
And currently islam is the leading religion spreading throughout the world
Ukweli utasimama siku zote hata kama bbc cnn na aljazeera wataupiga vita.
Hata Ireland ya Kaskazini wanapigana wakatoliki na waprotestant.Sudan ya Kusini wanapigana,Congo wanapigna,Uganda wanapigana,Ukraine wanapigana,nkHata Zanzibar ni secular state in theory. Hata Eypt ni hivo hivo. Lakini in essence ni nchi za Kiislam. Vita ya sasa Iraq ni ya kidinikati ya Shia na Sunni. Sasa usecular wake uko wapi?