Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,934
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:

Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score:

1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Mnaochangia msiropoke, zingatieni vigezo vilivyozingatiwa:

The cornerstone of effective governance globally lies in embracing principles such as transparency, accountability, inclusivity, and adherence to the rule of law.

Kwa vigezo hivyo, ndiyo unaweza kuelewa kwa nini Tanzania ambayo hata mahakama zake hazipo huru, haiwezi kuwa miongoni mwa nchi zinaxoongozwa vyema. Kukosekana kwa uhuru wa mahakama kwa Tanzania, ni jambo dhahiri, ndiyo maana hakuna mwekezaji yeyote mkubwa ambaye yupo Tanzania aliwahi kukubali mgogoro wowote baina yake na Serikali utatuliwe na mahakama za Tanzania.
 
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...

Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?

Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?

Another on-line trash list
 
No data, you are making stories. Any data to support your argument?

Tanzania inaongozwa vizuri zaidi kuliko South Africa, kwa vigezo gani?
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:

Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Senegal si jana tu wametoka kumfurusha mtu ikulu!
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:

Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Wazee wa mbio za Mwenge na kuabudu Mwenyekiti hawamo!🤣
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.

Takataka ni kama hii uliyoiweka wewe hapa. Maana ni hadithi.

Kilichowekwa ni scientific research outcome. Haiwezi kupuuzwa kwa sababu tu mtu fulani kasema matokeo fulani ya utafiti yapuuzwe.

Ulichoandika wewe ni hisia.
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Sasa kama kuna uongozi mbovu inakuaje na Uchumi mkubwa kuzidi ata Tanzania?
Punguza mihemko Mkuu,na wewe Fanya utafiti wako then leta ripoti jamvini!
 
Hana vigezo ka copy na ku paste kutoka sehemu nyingine bila kushirikisha ubongo.

Wewe ni mtupu sana. Umewekewa na link ambayo hata kama una akili ndogo ungeweza kusoma na kuelewa vigezo vilivyotumika. Hawa watafiti hawakurupuki kama unavyofanya wewe, kuropoka tu kuwa Tanzania inaongozwa vizuri kuliko South Afrika.
 
Hii ata mtoto wa miaka 2 anaweza kujua bado tunatawaliwa kwenye ukoloni mbaya kuzidi nchii zote za Afrika sema tulijengwa kuvumilia mateso.Jana nilikuwa nafikilia nchi ina watu kama mo,bakhresa, Joseph kusaga,mbowe,shaffih dauda,profesa asadi,Lema tuna wasomi wengi lakini tunaongozwa na fomu for felia ni aibuuu.
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
kwenye hili nakuunga mkono isee south hapafai utasema ni gang za madawa ya kulevya ndio wenye nchi..
 
Wewe ni mtupu sana. Umewekewa na link ambayo hata kama una akili ndogo ungeweza kusoma na kuelewa vigezo vilivyotumika. Hawa watafiti hawakurupuki kama unavyofanya wewe, kuropoka tu kuwa Tanzania inaongozwa vizuri kuliko South Afrika.
Narudia tena, mkiwa mnasoma vitu sehemu viacheni hukohuko.
 
Back
Top Bottom