Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

Nchi za Afrika zinazoongoza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching)

Africa si ndio kwnye watu wengi zaidi wenye dark skin? Obviously kwa nchi za weupe ni wachache watakuwa wanajichubua
 
Kwenye picha unakuta demu ameglow mbaya halafu kachonga sura sijui iwe oval mara kaongeza weupe kwenye macho na meno, halafu kope zinapigwa weusi, ukiangalia picha ni mtu mtu kweli, kutana nae sasa, utatamani umulize we si una meno meupe wewe imekuaje 😃
Mi najua filter ina kufanya soft ila haibadili sura 😁
 
Kwamba kila ukipita njiani unao kutana nao Barabarani watu wawili mmoja anajichubua, si kweli.

I bet kuna watu wengi Nchi hii ambao hajawahi hata kupaka lotion ama kipodozi chochote kuliko ambao wamepaka.
Hii ni wanawake wanaojichubua. Hapo kuna wanaotumia high quality products hutawajua na wanaotumia low quality product unaweza kuwajua. Pia eneo moja wanaweza kuwa 15 eneo lingine wawili. Kusema 50% haina maana kuwa kila upitapo utawakuta watu mmoja kajichubua mwingine hajajichubua.
 
Nchini Nigeria, asilimia 77 ya wanawake hutumia bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi (bleaching), jambo linaloifanya kuwa na kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya bidhaa hizo barani Afrika. Aidha, kati ya asilimia 52 hadi 67 ya wanawake huko Dakar, Senegal, wanaripotiwa kutumia bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi. Hali hii inaonyesha kuwa matumizi ya bidhaa hizi yameenea kwa kiasi kikubwa katika baadhi ya maeneo ya Afrika Magharibi.

Nchini Cameroon, idadi kubwa ya vijana imeonekana kujihusisha na tabia ya kubadilisha rangi ya ngozi. Ingawa mara nyingi vitendo hivi huhusishwa zaidi na wanawake, tafiti kadhaa zimeonyesha kuwa hata wanaume wanashiriki katika matumizi ya bidhaa hizi, ingawa kwa kiwango kidogo. Hii inaashiria kuwa shinikizo za kijamii na mitazamo kuhusu urembo vinaathiri watu wa jinsia zote.

View attachment 3562914

Nchi za Afrika zinazoongeza kwa kuchubua Ngozi (Skin Bleaching);

1. Nigeria: 77%
2. Kongo-Brazzaville: 66%
3. DR Kongo: 59%
4. Ghana: 56.6%
5. Senegal: 52%
6. Tanzania: takriban 50%
7. Togo: 40%
8. Afrika Kusini: 35%
9. Zimbabwe: 31.1%

Majirani zetu wa EAC hawamo, wanawake zao wanajitambua.
 
Utafiti wa kwanza Tanzania kukosa top 10 kwenye makosa

Back
Top Bottom