historia, nimesoma japo si sana inaonekana hukunielewa vizuri kwa vile post imekaakaa kaa shairi fulani hivi, laki my point is:
1. Tanganyika ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wakoloni
2. Tanzania ni nchi iliyobuniwa na kubatizwa jina hilo na wazalendo
3. mimi na wingine wenye umri usiofikia miaka 47, tumezaliwa Tanzania na sio Tanganyika
4. muungano ni kielelezo cha umoja wetu na licha ya mapungufu yake, ni bora kuliko kutengana
5. changamoto tuliyonayo ni kuondoa mapungufu yake, iwe ni kwa kuunda serikali moja, tatu au kubaki na mbili za sasa, vyovyote vile, muhimu tuondoe kero zinazohusiana na muungano
kilichotufanya tusindwe kuijenga Tanzania si muungano uliopo, bali masuala mengi tu tunayojadili hapa kila siku kama ufisadi nk. kwa hiyo hata tukiuvunja muungano, tutashindwa kuijenga Tanganyika pia kama hatutapambana na matatizo haya (ufisadi nk)
nyerere aliwahi sema,,,hajui jina,,,,,tanganyika,,,,,lilianzia wapi,,,,,,chanzo chake ni wapi,,,,.niliwahi sikia ni wajeruman walilianzisha kutokana na jina tanga,,,,walipokuwa kule juu lushoto;;;walionyeshwa tambarare ile;;;kwa lugha za kipare na kisambaa,,,hata kizigua,,,tambarare kubwa chini ya milima,,,uwanda,,huitwa nyika,,hivyo jina leyewe sio tanga bali ndanga,,then,huo uwanda,,uliitwa ndanga nyika ,,,mjerumani akaandika tanganyika,,na ikulu ikajengwa lushoto,,,,,nawaomba na wengine wenye taarfa waweke humu tujue tanganyika ni nini na maana yake nini na asili yake wapi,,,,tutakua na hoja kuipnga au kuikubali,,,,,,,la tutapotosha kabisaa ,,,,,karibuni,,