Nchi yetu ina mfumo mbovu sana kielimu

Nchi yetu ina mfumo mbovu sana kielimu

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
2,451
Reaction score
4,948
Mfumo wa kielimu hapa bongo aise bado tupo nyuma sana. Kuna baadhi ya vitu kwa tulipo Sasa tutaendelea kusikia tu kwa wenzetu.

Kuna video nimejaribu kuziona za wenzetu huko nje, wakionesha vifaa vya kivita. Kwa kweli sidhani kama kwa mfumo huu wa kuchora panzi, na kutafuta GPA vyuoni kama tutafika huku.
 
Elimu ipi sasa, tuachane na mfumo tutawaonea bure !

Tujadili hio elimu ipo ? Inafanyikaje ? Mazingira ni conducive? ukitoka hapo tuanze na mfumo sasa
 
Mfumo wa kielimu hapa bongo aise bado tupo nyuma sana. Kuna baadhi ya vitu kwa tulipo Sasa tutaendelea kusikia tu kwa wenzetu.

Kuna video nimejaribu kuziona za wenzetu huko nje, wakionesha vifaa vya kivita. Kwa kweli sidhani kama kwa mfumo huu wa kuchora panzi, na kutafuta GPA vyuoni kama tutafika huku.
Huku walimu wamebakia kiwabebesha watoto wetu midaftari kibao! Mtoto yupo Darasa la nne madaftari 14....cha maana hamna!
 
Jambo la kijinga sana huu mfumo wa kuandika especially kwa ngazi za juu sioni umuhimu wake Watoto wanatakiwa wasome kutoka vyanzo mbalimbali kama Vitabu na internet wapate concept
 
Back
Top Bottom