Nchi yazidi kutangazwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi yazidi kutangazwa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kang, Jul 7, 2010.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Mwanamuziki Cheryl Cole alidondoka kwenye photo shoot baada ya kula Holiday Bongo, vipimo vinasema Anofelesi wamefanya kweli!

  t1larg.cheryl.cole.gi.jpg

   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,032
  Trophy Points: 280
  kaka usifurahie kutangazwa huko hasi!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Plasmodiam.
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jul 7, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sijawaelewa mnazungumzia nini hapa!
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Jul 7, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Naam nina gazeti la jana la Daily Mail na kwenye ukurasa wa mbele kabisa kuna picha moja tu yenye kichwa hichi cha habari EXCLUSIVE: CHERYL STRUCK DOWN WITH MALARIA SEE PAGE THREE na hapo ukurasa wa tatu kuna kichwa cha habari hichi CHERYL HIT BY TROPICAL BUG ambapo parandesi ya kwanza inasomeka hivi CHERYL COLE IS IN HOSPITAL WITH MALARIA AFTER A HOLIDAY IN TANZANIA (Hizo herufi kubwa hapo mwisho ni msisitizo wangu)
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  I just think Kang decided to deliver a sarcastic headline following a much contentious and seemingly unproductive visit by the Brazilian team to Tanzania. Is it fair, the media be the judge!
   
 7. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyo ni cerebirty ndiyo sababu lakini watalii wengi sana wanapata malaria wanapokuja nchi za tropic zenye maambukizi ya malaria.. kuna taarifa ya watalii wengine wanaambikizwa ugojwa wa malale unaoambukizwa na mbung'o kwenye mbuga zetu kwa hiyo malaria sio ajabu sana
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nawashangaa sana waTZ kwa kujipendekeza kwa weupe mbona wao mafua ya ndege na nguruwe yakiwachapa sisi tunaenda huko na hawaandiki kama sisi tunavyo andika? Kwani nani asiyejua kwamba kwenye tropical countries kuna magonjwa ya kuambukizwa na wadudu kutokana na hali ya hewa ya joto na unyevu kipindi kirefu cha mwaka?

  Ndo maana kukawa na vaccination card issues pale unapotembelea nchi nyingine!! Tena yeye ashukuru kama hajakumbana na HIV live.
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mbona wao mafua ya ndege/nguruwe wanayo na hamsemi??? mmeathirika na ukoloni nyie au kwa kuwa mko huko kama wakimbizi??
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pole mama, ndiyo TZ hiyo! Tumia chandarua chenye ngao safari nyingine ukija mamaaaaaaaaa:A S tongue:
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Yale yale ya FATAKI kufurahia kutajwa na wakubwa kwa UFATAKI WAKE.............
   
 12. minda

  minda JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  :sorry: pole mzungu!
   
Loading...