IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Sikukuu ya Christmas kwa mujibu wa waumini ni sikukuu takatifu, lakini cha kushangaza ndio siku ambayo pombe inapewa nafasi.
Mfano mdogo kwenye treni inayoenda Kilimanjaro abiria wanaomba kilevi kiongezwe coz ni msimu wa Christmas.
Na serikali imetii kuongeza creti za bia kutoka 50 hadi 150 kwa siku hii ni hatari.
Inaonyesha ni kwa namna gani nchi hii imejaa walevi na serikali inasapoti.
Ifike mahali serikali itoe heshma kwa sikukuu kama hizi.
Pombe ni HARAMU.
Sent using Jamii Forums mobile app