Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Watz mbona mmeongezeka sana....sasa Mimi nawashangaa mnavyosema mnamatatizo ya nguvu za kiume.Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika.
China inaongoza kwa kuwa na watu bilioni 7.5 huku Vatican ikiwa ya mwisho yenye watu 792. Tanzania ni nchi ya 24 katika orodha hiyo ikiwa na watu milioni 54.
Mmh! Vipi?,Huko Vatican wanaishi watawa (Mapadre na masista) tu au?Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika.
China inaongoza kwa kuwa na watu bilioni 7.5 huku Vatican ikiwa ya mwisho yenye watu 792. Tanzania ni nchi ya 24 katika orodha hiyo ikiwa na watu milioni 54.
Umeshafyatua wangapi kwa kumuunga mkono????Arch Angel John alisema tufyatue zaidi
Nadhani tuna mengine ya kuiga kutoka kwao zaidi ya hilo [emoji22][emoji22][emoji22]wachina wanatiana jamanii.khaaa.
Vijijinini watu wanafyatua balaaWatz mbona mmeongezeka sana....sasa Mimi nawashangaa mnavyosema mnamatatizo ya nguvu za kiume.
nini?viwanda au?Nadhani tuna mengine ya kuiga kutoka kwao zaidi ya hilo [emoji22][emoji22][emoji22]
Uchapakazi... Na kujali muda..nini?viwanda au?
Kuzaana boss!Haaaa, Tz tupo nafasi ya 24 kiuchumi au kuzaliana?
kwani wachina uwa wanafanya kazi gani?mpaka wametupita.Uchapakazi... Na kujali muda..
Billion 7.5 ni idadi ya dunia mzima, acha uongo. China Wapo billion 1 na ushee hv.Hapa nimekuwekea takwimu zilizotolewa na Umoja wa Mataifa kutoka World Population Prospects mwaka jana 2017 zikionyesha makadirio ya idadi ya watu katika nchi husika.
China inaongoza kwa kuwa na watu bilioni 7.5 huku Vatican ikiwa ya mwisho yenye watu 792. Tanzania ni nchi ya 24 katika orodha hiyo ikiwa na watu milioni 54.