Sijaenda au kukaa huko, ila kwa taarifa niliyoipata ni nchi nzuri tu, ndiyo nchi inayotenganisha Asia na EU..
Wana maendeleo kama EU, wanajitegemea, wako makini na zamani hizo (kutokana na vitabu vya historia), enzi za Ottoman Empire hawa jamaa walikuwa na nguvu sana...
Je ukaoeme kule, ndio, je kunaishika ndiyo, kabisa....
Ukafanye kazi? Ndio, wako kama wa Italiano, ila upige kazi usilete za uvivu vivu kama za bongo...
Maendeleo yao hayana tofauti na nchi nyingi EU...
Ubaguzi upo? Sana tu.. Kwani kuna sehemu haupo?! Hata South Africa upo!
Ni wewe tu kuamuwa, tena wana chakula kizuri sana, kama kwetu tu...