Nchi ya Uturuki (Turkey)

Nimeishi huko takribani mwaka mmoja ni sehemu nzuri mno.....changamoto ni pale utakapokutana na watu wasiojua kiingereza .itabidi ujifunze lugha yao. Safari njema mkuu
shukrani mkuu jau jau.
 
Dah!kweli asee mkuu unanipa upeo mpana kuhusu life la turkey...so teaching language ni turkish? and itachukua mda gani kwa mtu mwenye uelewa mpana kujua turkish? Likizo kwa ajili ya kurudi nyumbani zipoje?
language inategemea na chuo utakachoomba. kama ni scholarsbip then chuo utakachopangiwa. kuna lugha almost zote kubwa kutegemea na chuo. infact ukikaa miezi 3-6 unaweza ku communicate na watu bila shida japo hautakuwa fluent. ila baada ya miezi 6 unakuwa comfortable zaidi. ila uipende lugha yenyewe na uwe tyr kutaka kujifunza. wapo watu wanaishi kule miaka kibao bado language yao mbovu. kurudi home ni ww tu maana kama ni mwanafunzi chuo kinafungwa June hadi October katikati au mwishoni. kuna ndege ya direct from Istanbul mpaka Dar au la unaweza kukata Ethiopian airlines ambayo ni cheap ila ina vituo vingi sana. ila likizo pia unaweza kuomba kufanya kazi States ambapo kuna Visa unapewa ni spesho kwa ajili ya kwenda kufanya kazi tu na ni kwa ajili ya wanafunzi tu.
 
Yap!Dadangu kuna ka fursa nataka nikachangamkie huko
Hongera.
Kama uko mkoani, ukija Dar ili kujiandaa kwenda na huna ndugu, karibu ufikie kwangu huku ukiendelea na utaratibu.
ila kama uko Dar tayari....nakutakia kila la kheri na safari njema.
 
Hongera.
Kama uko mkoani, ukija Dar ili kujiandaa kwenda na huna ndugu, karibu ufikie kwangu huku ukiendelea na utaratibu.
ila kama uko Dar tayari....nakutakia kila la kheri na safari njema.
ntFika ucjar
 
shukrani sana mkuu!
 
Hongera.
Kama uko mkoani, ukija Dar ili kujiandaa kwenda na huna ndugu, karibu ufikie kwangu huku ukiendelea na utaratibu.
ila kama uko Dar tayari....nakutakia kila la kheri na safari njema.
Usijali nitafikia hapo.
 
Sasa unashaurije kwa msagalami kama huyu anayetaka kwenda kutafuta maisha,aende?
Na je huo umachinga unatakiwa uwe na vibali gani?
 
Mkuu nataka nikawe chinga huko utaratibu upo vipi,gharama za usafiri kutoka huku sitimbi(dar) mpaka huko mjini mwema(Turkey), na vitu gani ziada ni nahitaji kuwa navyo??
 
Sasa unashaurije kwa msagalami kama huyu anayetaka kwenda kutafuta maisha,aende?
Na je huo umachinga unatakiwa uwe na vibali gani?
kwenda kutafuta maisha mhh siwezi kukushauri labda kama unapita njia ili uende kwingineko. vibali inategemea na Visa utayaoomba nadhani maelezo mazuri utapewa ubalozini.
 
Mkuu nataka nikawe chinga huko utaratibu upo vipi,gharama za usafiri kutoka huku sitimbi(dar) mpaka huko mjini mwema(Turkey), na vitu gani ziada ni nahitaji kuwa navyo??
ni vema kabla haujaenda ufanye upembuzi yakinifu wa kutosha ili usije kujuta. mm binafsi sishauri sana japo wabongo wapo wengi na wanaishi vzr. kila mtu ana siri yake katika mafanikio ila kuwa mmachinga kule naona kama ni shida kidogo. unavyohitajika kuwa navyo inategemea na aina ya Visa utakayoomba so ubalozini ndio watakupa maelezo mazuri zaidi..
 
mkuu ulisoma undergraduate huko au?
 
Mkuu umesahau kule ni kawaida kuona familia nzima wanavuta sigara baba mama hadi watoto wa kike. Nakumbuka mwaka fulani nilikuwa Ankara kwenye bustani moja, Bwana na Bi harusi walipomaliza kupiga picha kila mtu akawasha fegi yake wakiwa katika mavazi ya harusi !
 
mkuu ulishagegeda madem wangap hapo kwa Mr tayep edorgan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…