jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
cc: murutongore MUKAMASIMBA
Hii nchi bwana! RAIS MZIMA anabeba mkewe na wanae, anafolenisha watu na msafara wa ving'ora barabarani, anakwenda kumpokea msanii airport? duh! nilidhani JK wetu anapenda burudani kuliko wote EAC, turns out i was wrong. Baada ya concert bwana mdogo alikwenda kufanya private concert nyumbani kwa mkulu, lakini huko camera hazikuruhusiwa...msije mkamcheka mzee akipiga skelewu!
"Davido was the headline act for this year and President Paul Kagame of Rwanda welcomed the BET winner with his wife and children at the airport....
After the show Davido was invited to perform Aye at the Presidents home, however, no cameras were allowed during that time.
"
source:Welcome to Linda Ikeji's Blog: Pics: Rwandan president welcomes Davido at airport as he performs to 60k fans