Nchi ya Morocco imewa-prove wrong

mleta mada ni mpuuzi

watanzania tunatumia kiswahili na kingereza
wamorrocco wanatumia kiarabu na kifaransa
mfumo wa elimu morrocco ni copy and paste ya mfumo wa ufaransa

kama ishu ni lugha ya ughaibuni mbona morrocco wanayo ya ufaransa???
 
Kwani wewe hii mada umeilewaje? Labda nikuulize hivyo kwanza!
 
Sijakataa mkuu, nataka kujua au una prove vipi kwamba maendeleo ya elimu yataletwa na kiswahili? Huoni kwamba tunazidi kujiweka mbali na ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…