Waswahili walionya kuhusu kuiga tembo kunya na kupasuka msamba.
Morocco wanaongea Kifaransa na Kiarabu.
Waswahili walionya kuhusu kuiga tembo kunya na kupasuka msamba.
Morocco wanaongea Kifaransa na Kiarabu.
Bila shaka kwa kuwa MOROCCO imehudumia watalii kwa mda mrefu! Utalii huko Morocco. Unanyanyua uchumi kwa kiwango kikubwa.Duuuuuu umeua! nimeshangaa mada yake kubwa inahusu lugha, point yake kubwa ya reference ni morroco. Hio morocco hajaweza kusema wanaongea lugha gani!
Poor you cc: limetumbuka
Duuuuuu umeua..............., nimeshangaa mada yake kubwa inahusu lugha, point yake kubwa ya reference ni morroco. Hio morocco hajaweza kusema wanaongea lugha gani!
Poor you cc: limetumbuka
Waswahili walionya kuhusu kuiga tembo kunya na kupasuka msamba.
Morocco wanaongea Kifaransa na Kiarabu.
Duuuuuu umeua..............., nimeshangaa mada yake kubwa inahusu lugha, point yake kubwa ya reference ni morroco. Hio morocco hajaweza kusema wanaongea lugha gani!
Poor you cc: limetumbuka
South Korea, mitaala yao ya sasa ni full English, English haikwepeki katika dunia ya leo...tunamiuse matumizi ya rasilimali zetu kwa kuanza kutumia muda wetu kutafuta maneno mbadala ya kufindishana wakati lugha yetu yenyewe haina maktaba ya kutosha. Only in Tanzania...where politicians do whatever they want!!
Labda haujanielewa hoja kuu ya watu wengi ni kwamba bila kiingereza Dunia hii hauwezi kutoka na mimi ndio nikaleta mfano wa kamba kama Kiingereza ndio sababu ya nchi kutoka basi ningetegemea nchi zinazotumia kiingereza kwenye elimu yao kama Kenya, Nigeria&Co. kuwa juu kimaendeleo kuliko zisizotumia Kiingereza hapa Afrika kama hilo ndio tatizo, kwa maana Wanigeria au Waghana wanajua kiingereza klk Wamoroko!
Watanzania hata Kiswahili hawajui.
Wanatafuta mchawi wakati tatizo lao uchafu.
Hata wakibadilisha mambo kwenda Kiswahili watajikuta hawakijui.
Then what?
Tubadilishe kwenda kwenye lugha za makabila?
Kwanza labisa hakuna nchi yoyote "inayotoka" kwa kitu kimoja.
Pili, katika mambo ya maendeleo na lugha, point ya muhimu ni watu kutumia lugha yao au ya kigeni. Tukitumia Kituruki au Kiingereza zitabaki kuwa lugha za kigeni tu. Kwa hiyo argument ya msingi ni Kiswahili vs lugha za ughaibuni. In our case lugha ya ughaibuni imekuwa Kiingereza, wa Morocco kwao ni Kifaransa.
Sasa unapotoa mfano wa Morocco kufanikiwa bila kutumia Kiingereza wakati mtu mmoja katika kila watatu anajua Kifaransa unashangaza.
Kwa hiyo unataka kusema nini sasa? Kwa maana hoja ni kwamba tuko nyuma kwa maana hatujui kiingereza wewe unakuja unasema Wamoroko imewezekna kwa maana wanatumia Kifaransa, unamaanisha nini? Kwa maana kama Wamoroko wangekuwa wanatumia Kiswahili wasingeweza kuwa (among) most innovative countries?
Kusoma kiingereza na lugha zingine za kigeni ni jambo muhimu sana. Wachina wanasoma kwa kutumia kichina lakini aibu ni kwamba ukiinia hotel za wachina kule kwao uchina unakuta anaejua kiingereza ni hotel meneja tu wengine wote ukiwasemesha kiingereza wanakimbia kumwita hotel meneja. Naomba aibu hii isitupate watanzania.
Kusoma kwa kiswahili sio zambi lakini je kitatusaidiaje linapofika swala la kimwingiloano wakimataifa. Binafsi nahisi tutafeli.
Uzembe wetu wakujisomea luga mbalimbali na vitu vingine isiwe sababu yakukimbilia kukataa kiingereza na luga zingine za kigeni.
Kwanza kabisa nimekwambia kwamba maendeleo hayatokani na kitu kimoja.
Kwa kurudi kwenye mazungumzo yanayoonyesha hujaelewa point hiyo, unaonyesha una ukosefu wa uelewa.
Pili, nimeeleza kwamba matatizo ya Watanzania ni zaidi ya lugha. Na tunaweza kubadiki lugha kwenda Kiswahili tukajikuta hata Kiswahili hatukijui. Tutake kuanza kutumia lugha za makabila.
Hilo nalo umeonyesha ukosefu wa uelewa. Ungelielewa usingerudi kwenye kufanya lugha ndiyo tatizo letu.