Hayo mabango yamekuwa kero.Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.
Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?
Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.
Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?
Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Sasa tuseme nchi ilichafuka pia kwa yule. Ila yule na huyu wako sawa. Huyu kafanya nini?Hii nchi haijawahi kuchafuka kwa mabango kama kipindi cha hayawani yule! Come to your common sense dude! Hadi media houses zote zilielekezwa kwa Shetani yule!
May the almighty God bless our Hon. President. Long live President Samia.
Kwamba mbwa unawajua wewe na mashoga wenzio mlioachwa baada ya makamu wa rais wa mashoga kuingia ikulu na kuwaacha mkibwabwaja jf.Nimegundua Lisu ni mpinzani wa kweli na Dk slaa wengine mbwa tu
USSR
Chawa unakuta kuna fungu kabisa lets 10b kwa ajili ya huo ujinga na utakuta labda ni nape au makamba ndo wamegharamikiaHii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.
Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?
Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Kitu chema hujiuza hata pasipo kutangazwa kulikopitiliza.Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Bongo bado sana wajinga wengi sana.Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu
Duh...!. Yaani Tanzania tuna watu wa ajabu sana!. Yaani pamoja na mema yote, makubwa mazuri yote ya huyu Mama anayoyafanya, bado kuna mtu unakereka na mabango tuu ya Mama?!.Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.
Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?
Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Nasikia mkeo ni umbwa mtaa mzima wanajua, pole sanaNimegundua Lisu ni mpinzani wa kweli na Dk slaa wengine mbwa tu
USSR
Pole Sukuma gang. Jua kuwa Sukuma gang hamrudi na roho yako itulie. Yaani umeshasahau kipindi cha Jiwe ilivyokuwa.Hii nchi sasa haina tofauti na geto. Kila mahali imejaa mabango. Mara mama katoa ruzuku ya mbolea wakati vyakula vipo juu, mara nani kama mama, mara kila kijiji kitapata umeme.
Kiukweli imekuwa uchafu hadi inakera. Maeneo ambayo ilitakiwa yawekwe mabango kuingizia hela halmashauri wameweka mabango ya samia.
Wao wanadhani mama anauzika kwa mabango, la hasha. Huko tulishatoka, kwa sababu kinachouza kwa sasa ni utendaji kazi na vitu vinavyoonekana. Ukisema unaleta maji basi iwe hivyo kwamba baada ya wewe kuingia nimepata maji wakati kabla sikuwa nayo, unasema umejenga zahanati basi niione sio unasema umejenga wakati ilikuwepo kabla yako.
Sio we umeingia kisha maji ya mgao, umeme wa mgao, chakula bei juu, huduma za afya hovyo.
Vitu vingi vinavyosemwa kwenye mabango haviakisi uhalisia, sasa wanamdanganya nani? mpita njia au?
Kwa sasa watanzania walishatambua kila kitu. Ni ngumu kuwadanganya kwa mabango. Tulishatoka huko. Waondoe uchafu miji ibaki misafi. Kama kuna kazi zinafanyika tutaona wenyewe. Maana zitagusa maisha yetu moja kwa moja.
Nenda kayatoeHayo mabango yamekuwa kero.
Kabisa mkuu, jamaa anajifanya kasahauHii nchi haijawahi kuchafuka kwa mabango kama kipindi cha hayawani yule! Come to your common sense dude! Hadi media houses zote zilielekezwa kwa Shetani yule!