Nchi ya Kenya haiwezi kuja kuendelea!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hii nchi iitwayo Kenya haiwezi kuja kuendelea hata siku moja, itabakia kuzunguka hapo hapo ilipo tu na hakuna kwenda mbele, na hii ni kwa sababu ya mazingira ya nchi hiyo na watu wake hayaruhusu nchi hiyo kuendelea!
Nimesikia Kenya ina Wabunge zaidi ya 400, Maseneta wa idadi hiyo hiyo, halafu kuna Magavana na Madiwani pia na wote hawa wanataka kutajirikia Serikalini, wanataka Mishahara minono, Gari, Pension, Mtibabu n.k. WTF?

MPs reject Sh11 million gratuity, team formed to negotiate more cash
 
Mzee wa nongwa vipi, leo naona umejitutumua sijui umekunywa nini. Nakubaliana na hilo la viongozi kupenda kutufyonza, na hii ni kawaida kwa viongozi wa nchi nyingi. Ni kwamba hao wa Tanzania hawajapata fursa lakini kila wakipata nafasi huwa naona wanavyo wanyonya, Ni kama juzi tu wale wa CCM waligawana mamilioni hela za walipa kodi.

Lakini nakukatalia kwenye suala la kusema hatuwezi kuendelea, Kenya inaendelea maana ni nchi ya wachapa kazi na ndio maana unaona bila raslimali, na pia ardhi ndogo ambayo nusu yake kame tunaizidi Tanzania yenye kila kitu. Tunawazidi kiuchumi, kielimu na mambo yote kwa sababu tunajituma balaa. Wabunge na viongozi wengi wanatufyonza lakini bado tunatawala na kuendelea maana hatukati tamaa.
 
Lengo langu halikuwa TZ vs Kenya, bali lilikuwa Nchi ya Kenya! Tanzania ina matatizo yake pia na yana sehemu yake yanaelezewa hapa JF kila mahali, kila siku!
 
Hahaha, mzee wa ugatuzi. Haya ndio ulikuwa unani hubiria kwamba huu ndio mfumo unaofaa, lakini hautuambi ni kiasi gani kitatugharimu kuwa na mfumo kama huu. Tuna jaza wanasiasa kwa maelfu, cha maana wanacho fanya hakijulikani. Nakumbuka hata bank interest rate ya Kenyatta tuliwaambia mfumo huo haufai sisi tuliujaribu hakumsaidia masikini yeyote. Juzi governor wa CBK anasema the scheme doesn't do what it was designed to do. Maana yake watu wa chini hajasaidiwa chochote na mpango huo.
 
Lengo langu halikuwa TZ vs Kenya, bali lilikuwa Nchi ya Kenya! Tanzania ina matatizo yake pia na yana sehemu yake yanaelezewa hapa JF kila mahali, kila siku!

Na ndio maana nikakiri kwamba wabunge wetu wanatufyonza, nikakukatalia kwa hilo la kutulaani kwamba haitokuja siku tuendelee ilhali huku tunaongoza ukanda wote huu.
 
Kwa sababu Mzungu aliacha hivyo, lkn siyo Wakenya wenyewe, isitoshe pengo linazidi kupungua kila siku kati ya Kenya na nchi jirani, lkn ni nje ya Mada hata hivyo!!
 
Hahaha, mzee wa ugatuzi. Haya ndio ulikuwa unani hubiria kwamba huu ndio mfumo unaofaa, lakini hautuambi ni kiasi gani kitatugharimu kuwa na mfumo kama huu. Tuna jaza wanasiasa kwa maelfu, cha maana wanacho fanya hakijulikani. Nakumbuka hata bank interest rate ya Kenyatta tuliwaambia mfumo huo haufai sisi tuliujaribu hakumsaidia masikini yeyote. Juzi governor wa CBK anasema the scheme doesn't do what it was designed to do. Maana yake watu wa chini hajasaidiwa chochote na moango huo.

Ugatuzi haubadilishi tabia za wabunge na ulafi wao. Kwakua ni mfumo mpya kwetu nilikuambia kuna changamoto lukuki maana wenyewe inabidi tuuelewe ili kuukumbatia kabisa, kuna mengi tunarekebisha na tutafika tu. Cha msingi ni kuwa tunathubutu na sio kuishi kwa uwoga uwoga na kulaumu laumu.

Kuna mengi mazuri tunayaona kama matunda ya ugatuzi.
 
Kwa sababu Mzungu aliacha hivyo, lkn siyo Wakenya wenyewe, isitoshe pengo linazidi kupungua kila siku kati ya Kenya na nchi jirani, lkn ni nje ya Mada hata hivyo!!

Naomba upate darasa kwamba mzungu aliwacha Tanzania na Kenya zikiwa level moja kiuchumi, leo hii tumewaacha nyie hii ni baada ya sisi kupiga chini chama tawala kilichokua kinatuangusha.
 
Siyo kweli, Mzungu aliacha Kenya semi-industrialised middle income country ila Wakenya ndiyo wamebomoa, Viwanda vyote chini ya mwamvuli wa Unilever industries viliwekwa Kenya na Mzungu, na ndiyo moja kati ya sababu ya EAC kuvunjika kwani kila kitu kilikuwa Kenya, hata Kenya Airways ni mzao wa Ndege zilizokuwa mali ya EAC, Tanzania hatukuwa na chochote, Viwanda voyote Muingereza alijenga Kenya na kutokea Nairobi ndiyo alikuwa anasambaza nchi nyingine kama TZ, Uganda na kwingineko, kwa kifupi Nairobi ndiyo ilikuwa center ya EAC chini ya Mzungu!
Tanzania Mzungu hakujenga Kiwanda hata kimoja!
Na ndio maana mpka leo hii vitu vingi Kenya bado vinabeba jina la East Africa, tanzani hakuna kitu kama hicho!
 
mi mtanzania, nakuunga mkono kwa hilo

nasema hivi maana ni mzalendo kwa nchi ya ngu sio ccm, nawezakupishana kwa hayo mengine ila hili upo sahihi
 
Naomba upate darasa kwamba mzungu aliwacha Tanzania na Kenya zikiwa level moja kiuchumi, leo hii tumewaacha nyie hii ni baada ya sisi kupiga chini chama tawala kilichokua kinatuangusha.
Sasa, kwa nchi kama Kenya, iliyo kuwa na uchumi huria tokea 1960's, hamkutakiwa kuwa level za Korea ya kusini, Singapore, Malaysia, Brazil, South Africa na nyingine nyingi? Huku nchi hizi nyingine zinepitia kwenye vita, njaa, ubaguzi wa rangi, mapinduzi ya kijeshi nk. Mbona mnafukuzana na Tanzania nchi iliyo ingia kwenye mfumo biashara hurui miaka 20 tuu iliyo pita. Na hii ni ugatuzi pia au?
 
Siyo kweli, Mzungu aliacha Kenya semi-industrialised middle income country ila Wakenya ndiyo wamebomoa, Viwanda vyote chini ya mwamvuli wa Unilever industries viliwekwa Kenya na Mzungu, na ndiyo moja kati ya sababu ya EAC kuvunjika kwani kila kitu kilikuwa Kenya, hata Kenya Airways ni mzao wa Ndege zilizokuwa mali ya EAC, Tanzania hatukuwa na chochote, Viwanda voyote Muingereza alijenga Kenya na kutokea Nairobi ndiyo alikuwa anasambaza nchi nyingine kama TZ, Uganda na kwingineko, kwa kifupi Nairobi ndiyo ilikuwa center ya EAC chini ya Mzungu!
Tanzania Mzungu hakujenga Kiwanda hata kimoja!
Na ndio maana mpka leo hii vitu vingi Kenya bado vinabeba jina la East Africa, tanzani hakuna kitu kama hicho!
Ati mzungu aliacha Kenya semi-industrialized middle income nation, who feeds you guys that crap! Unajua unilever ilijengwa Kenya lini ? Unajua kulikua na only 11 factories in Nairobi at independence while Kampala ilikua na almost double that number? Unajua the whole of Kenya had just 1500km of paved roads in 1960s? Usijichoche ati mzungu kajenga Kenya ndio maana iko mbele ya Tz, vijisababu tu.
 
Siyo kweli, Mzungu aliacha Kenya semi-industrialised middle income country ila Wakenya ndiyo wamebomoa, Viwanda vyote chini ya mwamvuli wa Unilever industries viliwekwa Kenya na Mzungu, na ndiyo moja kati ya sababu ya EAC kuvunjika kwani kila kitu kilikuwa Kenya, hata Kenya Airways ni mzao wa Ndege zilizokuwa mali ya EAC, Tanzania hatukuwa na chochote, Viwanda voyote Muingereza alijenga Kenya na kutokea Nairobi ndiyo alikuwa anasambaza nchi nyingine kama TZ, Uganda na kwingineko, kwa kifupi Nairobi ndiyo ilikuwa center ya EAC chini ya Mzungu!
Tanzania Mzungu hakujenga Kiwanda hata kimoja!
Na ndio maana mpka leo hii vitu vingi Kenya bado vinabeba jina la East Africa, tanzani hakuna kitu kama hicho!

miaka kadhaa baada ya kupata uhuru na kuchukua uongozi wa uchumi zetu, tulikua sawa kiuchum
.. EA airways iligawanywa kibiashara, kila nchi ilihawanyiwa kulinhana na walicho wekeza, Kenya ilikua imewekeza pesa nyingi zaidi ndani ya hio campuni......

we baki hapo ukijichokora na kunusa vidole, gap inazidi kuongezeka toka hizo nyakati
wp_ss_20161121_0002.png

propaganda za ccm ziliwaingia kweli mkidanganywa kwanini uchumi wa kenya uko mbele yenu, mpaka leo bado mnaziamini.... data haisupport hizo propaganda zenu
 
View attachment 468678

propaganda za ccm ziliwaingia kweli mkidanganywa kwanini uchumi wa kenya uko mbele yenu, mpaka leo bado mnaziamini.... data haisupport hizo propaganda zenu

Kwa nini jedwali (table) yako imeanzia mwaka 1970? Miaka zaidi ya 20 baada ya Uhuru? Isitoshe usibishe kwamba EAT Airways ndiyo Kenya Airways, ambayo ilianzishwa na Mzungu mwaka 1946 baada ya muungano kufa Kenya walikamata mali zote, kwa kuwa Makao makuu ya East African Airways yalikuwa Nairobi Kenya walizuia ndege zote kuruka, na kuzigeuza Kenya Airways!
 
Hii nchi iitwayo Kenya haiwezi kuja kuendelea hata siku moja, itabakia kuzunguka hapo hapo ilipo tu na hakuna kwenda mbele, na hii ni kwa sababu ya mazingira ya nchi hiyo na watu wake hayaruhusu nchi hiyo kuendelea!
Nimesikia Kenya ina Wabunge zaidi ya 400, Maseneta wa idadi hiyo hiyo, halafu kuna Magavana na Madiwani pia na wote hawa wanataka kutajirikia Serikalini, wanataka Mishahara minono, Gari, Pension, Mtibabu n.k. WTF?

MPs reject Sh11 million gratuity, team formed to negotiate more cash
Wewe jamaa una laana ya ukoo inakutesa siyo bure.
Yaani unashabikia upumbavu unaofanyika ndani ya nchi yako Tanzania chini ya ccm aka green devils halafu unavuka mpaka na kuivaa Kenya, kweli wewe ni chizi.
Hivi unaijua Kenya vizuri wewe au umeamua kuropoka tu, wakati unasema Kenya itabakia hapo hapo ilipo wakati huo Tanzania itakuwa wapi chini ya green devils?
Uchumi Wa Kenya ni mzuri mno na kila Siku unapaa tu, wakenya siyo vichwa Kama wewe na wajinga wenzako.
Kenya ni taifa la viwanda East Africa.
pesa yao ina thamani kubwa, mzunguko wa pesa ni mzuri mno Kenya.
Rais wao haongozi nchi Kwa visasi na chuki, hana muda na wapinzani anaijenga Kenya.
Kuna mbunge wa upinzani alimtukana rais Kenyatta matusi ya nguoni lakini hakuguswa, Kwa hekima kabisa Kenyatta alisema "Unapokuwa Baba wa familia na una watoto wengi ni kawaida Sana wengine kuacha kukuheshimu, namtakia heri ya mwaka mpya "
Hapa watu wakisema tu kuna njaa basi ni kuwekwa selo.
Unakera Sana mjinga wewe, yaani nchi yako Tanzania inakufa halafu unairukia Kenya?
Kenya ni mziki mwingine kabisa kiuchumi East Africa boya wewe.
CCM imeua viwanda 495 tangu Uhuru hadi leo, kaa kimya achana na Kenya wewe.
 
Uko Nje ya Mada, lengo siyo TZ vs Kenya, hilo halikuwa lengo langu, ziko Mada za kutosha hapa
JF za TZ vs Kenya peruzi tu utaziona!
 
Back
Top Bottom