Nchi ya Ajabu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi ya Ajabu Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Giddy Mangi, Aug 3, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Watanzania ni maajabu sana ukiona Nchi kama Tanzania yenye uhuru miaka 50 iliyopita haina Ndege,Meli,Mabasi,Malori,Taxi,Hospitali,Shule,Bajaj,Boda boda Mgahawa hata Pharmacy ya serikali ya Watanzania,Hii ni aibu kubwa na hata ukipata chochote chenye jina Mali ya Serikali basi ujue kuna misaada inayotoka nje kuwezesha taasisi hiyo kuwepo.HII NI AIBU KUBWA
   
Loading...