Nchi Ya Ajabu Sana Hii..

agristeph

JF-Expert Member
Aug 25, 2013
214
184
Wakati January Makamba akikaa chini kuwaza asaidiane vipi na wananchi wake wa Bumbuli kuleta maendeleo Lema anajikuta analazimisha kulala gerezani Kisongo ili akitoka apewe heshima ya mfanano wa Mandela!

Wakati January akiendelea kuwakusanya wananchi wa Bumbuli kwa njia mbalimbali ili waweze japo kusogea hata hatua moja kwa kuja na kitu kama Bumbuli Development Corporation Lema yeye anatafuta either wanafunzi wa chuo au madreva bodaboda watatue kero zao kwa vurugu na maandamano! Sijui anataka au analazimisha sifa Che Guevara wakati hayuko msituni yuko mjini.

Halafu leo wanahoji January amekuwaje "one of the powerful men in Africa",wengine wanahoji mbona hata Arusha hajulikani!!
Ningeshauri watu watembelee site yake January Makamba.com waone tofauti ya utendaji na kelele za vurugu,waone hiyo "nguvu" wanayozungumzia Forbes ni ipi,waelewe kuwa January hajawekwa kwenye money league..

Wale mnaohoji mbona Arusha hafahamiki,atafahamikaje Arusha wakati mkoa wangu tunapenda wapiga kelele na vurugu zaidi?
Kumalizia tu,wanaposema the most powerful men IN AFRICA haimaanishi ana nguvu Africa nzima,kuna watu wako kwenye list wanigeria ambao hata jirani zao Benin au Ghana hawawajui!

Nimalizie kwa kusema au kuuliza "tunafaidika nini kwa kufanya hate preaching?"

Najua vijana wa Chadema watanivamia maana mtu akipingana nao mawazo tu wanaweka kichwani ni lazima awe CCM,hapana..niko very sober kwenye vyama vya siasa! Natoa credit where it's due.

Jumapili njema.
 
Attachments

  • 1391318843020.jpg
    1391318843020.jpg
    17.5 KB · Views: 172
  • 1391318854415.jpg
    1391318854415.jpg
    24.3 KB · Views: 165
Be a keen reasoner. Kwa nini option ya maandamano is the only workable option which can make changes to the righteousness. The problem faced is the ccm created situation; of the having minolity over the having not majolity tanzanians. Calm, smooth and democratic approaches have been deployed to shorten the gap but ccm elite are using all means to widen it. Poor ones are becoming poorer while rich ones are becoming richer. Is Mkamba having any record in Tanzania where his efforts are recognised as having influensed to narrow the said gap? Or is still to bealive that; "Kulea mtoto wa mhindi huku ukiendesha kigari umeuchinja" a joke to Sambaa as a tribe. Au "Uganga wa kienyeji na kutamba eti una AJIRA?" Hamna mbadala wa vyombo vya dola kwa ccm, wizi na udanganyifu kwa kura, kutotangaza mshindi bali aliyeshindwa na elimu duni kwa raia isipokuwa maandamano na vulugu ambayo ndio lugha isemwapo walau inasikika. Bravo LEMA.
 
Wakati January Makamba akikaa chini kuwaza asaidiane vipi na wananchi wake wa Bumbuli kuleta maendeleo Lema anajikuta analazimisha kulala gerezani Kisongo ili akitoka apewe heshima ya mfanano wa Mandela!

Wakati January akiendelea kuwakusanya wananchi wa Bumbuli kwa njia mbalimbali ili waweze japo kusogea hata hatua moja kwa kuja na kitu kama Bumbuli Development Corporation Lema yeye anatafuta either wanafunzi wa chuo au madreva bodaboda watatue kero zao kwa vurugu na maandamano! Sijui anataka au analazimisha sifa Che Guevara wakati hayuko msituni yuko mjini.

Halafu leo wanahoji January amekuwaje "one of the powerful men in Africa",wengine wanahoji mbona hata Arusha hajulikani!!
Ningeshauri watu watembelee site yake January Makamba.com waone tofauti ya utendaji na kelele za vurugu,waone hiyo "nguvu" wanayozungumzia Forbes ni ipi,waelewe kuwa January hajawekwa kwenye money league..

Wale mnaohoji mbona Arusha hafahamiki,atafahamikaje Arusha wakati mkoa wangu tunapenda wapiga kelele na vurugu zaidi?
Kumalizia tu,wanaposema the most powerful men IN AFRICA haimaanishi ana nguvu Africa nzima,kuna watu wako kwenye list wanigeria ambao hata jirani zao Benin au Ghana hawawajui!

Nimalizie kwa kusema au kuuliza "tunafaidika nini kwa kufanya hate preaching?"

Najua vijana wa Chadema watanivamia maana mtu akipingana nao mawazo tu wanaweka kichwani ni lazima awe CCM,hapana..niko very sober kwenye vyama vya siasa! Natoa credit where it's due.

Jumapili njema.

Forbes ya mchina, usiruhusu kila uchafu unaowekwa kwenye mtandao kuingia akilini mwako. Makamba is fake arse
 
Njaa hizi kwel zitawamaliza. Tofaut nyingne ujaweka nikusaidie lema kawekwa na wananch na makamba kawekwa kwa wizi wa kura.
 
Back
Top Bottom