MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Wewe hauna ufahamu, hakuna msanii anayefanya mziki kwa ajili ya kuwaambia CCM, bali wanasiasa , na wana siasa siyo wa CCM tu, wapo wabunge wa UPINZANI wanaofanya mambo ya hovyo kabisa. Hivi anachokifanya Lema arusha hivi sasa kweli anawatendea haki wapiga kura wake?
Kala ni mwanaharakati namkubali sana huyu jamaaa.
Naona Arusha mmeshikwa mkashikamana, Lema kamaliza mchezo subirini tu kufunga bao la mkono kama mtapata hiyo chance ya kufika kwenye 18 zake.
Copy and Paste ya Prof.Jay ft Juma Nature,Lady JD na Babu Ayubu.Wimbo unaaitwa Ndio Mzee.Ni Sugu,Prof.Jay,Mkoloni tu "waliojitoa akili" hawa wengine wote kina Roma na Kala ni wachumia tumbo,wanaonekana kwa wagombea wa CCM kina Lowasa