Hizo nchi nyingine mbona hujaziorodhesha sasa???Uchawi upo au haupo ?
Umeshawahi kurogwa ?
Umewahi kwenda kwa sangoma kurekebisha mambo ?
Najibu kaa nayo tu moyoni mwako maana hayanihusu na sio kusudio langu la kuanzidha mada
Binafsi siamini katika uchawi na ushirikina.....kama kweli watu wanajua kuroga basi wapige tunguli huu uzi maandishi yawe ya rangi nyeupe au wabadili makaratasi yawe pesa ili tuondokane na hsli ngumu ya maisha
Tupo karne ya 21 ya sayabsi na teknolojia lakini kuna nzhi kibao bado zipo kwenye giza la ushirikina
................................................................
10/Saudi Arabia
Ulifikiri washirikina wapo barani Afrika pekee ? ..........Umepotea....
Waarabu wa Asia nao wamo kwenye fani hii ya kufanyizisna kwa kupigiana matunguli
Kutokana na kukithiri kwa uchawi wa watu kuwangianausiku matako wazi serikali ya Saudi Arabia ikaona isiwe tabu ikaanzisha kitengo Anti--witchcraft Unit maalum kusaka wachawi
Ukishikwa unajihusisha na uchawi adhabu yake ni kuchinjwa hadharani au kutupwa jela
Wachawi wakuu nchini Saudia ni wanawake
Naishia hapa tu maana nasikia kwao hata alnadir wanaifanya kishirikina ............Believe me or NOT
Mstue Mkuu kiranga9/Tanzania
Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na idadi kubwa ya wanaJf kisa tu anaandika zaidi ushirikina na hivyo kuwateka watu
Pia sasa hivi kuna thread kumuhusu Bilionea wa Arusha na mkewe kuhusishwa na ushirikina nao unakimbia balaa .....huu ni ushahidi tosha Watanzania wanaanini kwenye ushirikina
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina na kuamini mifupa na mafuta yao yanaleta utajiri kumzidi ule wa Bill Gates
Dukani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji na manabii feki wamejaa nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani na Mfalme Jiwe kapiga ramli hadharani na kusema CCM itatawala milele
Huo ni mtazamo wako na upo sahihiSioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara bali naona unaelezea mambo yenye kuhusu uchawi kwenye hizo nchi,maana hakuna sehemu ambayo hakuna imani za uchawi.
Ndiyo maana nikasema sioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara? Mfano hapo Saudia umeeleza tu kuwa serikali hukamata wanaojihusisha na uchawi na Tz umeeleza tu baadhi ya matukio ya kishirikina ambayo sioni ni vp yafanye Tz kuwa kinara.Huo ni mtazamo wako na upo sahihi
Uchawi upo dunia nzima ila nazungumzia nchi kumi ambazo watu wake wanaongoza kwa kujihusisha na ushirikina
Mkuu nilichokujibu si kinajitoshelezaNdiyo maana nikasema sioni maelezo ya kwanini hizo nchi ni vinara? Mfano hapo Saudia umeeleza tu kuwa serikali hukamata wanaojihusisha na uchawi na Tz umeeleza tu baadhi ya matukio ya kishirikina ambayo sioni ni vp yafanye Tz kuwa kinara.