Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Nchi ipo kwenye ukimya mzito mwigulu ndio kila siku yeye anasikika kwenye vyombo vya habari yani nchi kama vile haina serikali ile iliyoshinda kwa 98%.
Mwigulu naye akinyamaza ndio basi nchi nzima itakuwa kimya kama vile haina serikali, huyu jamaa anajitahidi sana kuongea ongea kila siku na vyombo vya habari.
Mwigulu naye akinyamaza ndio basi nchi nzima itakuwa kimya kama vile haina serikali, huyu jamaa anajitahidi sana kuongea ongea kila siku na vyombo vya habari.