Nchi inayoongoza kwa umbea duniani

Nchi inayoongoza kwa umbea duniani

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Posts
769
Reaction score
847
Salaam wana mmu!!

UMBEA ni kitendo cha kuzungumza Habari za mtu kwa mtu mwingine tena zisizokuhusu!!!

Kwa Bahati mbaya habari hizi huwa si njema....mara nyingi umbea huwa ni uzushi au uongo... Huwa mara nyingi zinazungumzia upande mbaya Kuhusu mtu....

Umbea unaweza fanywa na mtu Au vyombo vya Habari....

Lengo kuu la umbea ni kutafuta upendeleo.... Au biashara...

Nchi yeyote yenye umbea maendeleo huwa ni duni....

Nimefanikiwa kutembea nchi mbalimbali duniani nikabaini Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wake wana muda wa kutosha kuwasema Au kuwajadili watu wengine ambao kwa namna moja Au nyingine tunawaita wambea...

Kikubwa zaidi SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI limeasisiswa Tanzania..

My take:mashirika ambayo ni yakimaendeleo yanayoanzishwa Tz huwa yanakufa kwa Haraka Ila hili ni shirika ambalo Haliwezi kufa coz wanaolisapoti ni wengi mno....

Binafsi nakwazwa na hii tabia na kamwe Usitarajie Kuona mbea akifanikiwa.
 
Unawasema wambea kwa ubaya tuu bila kusema faida zao wewe mbeya?
 
hahaha
 
Pia usisahau viwanda vinavyo zalisha umbea

Mange Kimambi ni kiwanda kimoja wapo

Followers wake waliopo bongo ni kama subsidiary industries

Huku Mange mwenyewe, plus mahali alipo, anakuwa kama Parent Company
 
Back
Top Bottom