Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
Umbea sunna
Hiyo shilawadu ndio niliijulia kwa huyo jamaa, kuja kufuatilia ni kitu gani.kuna mtu mmoja pale magogoni alisema anafuatiliaga sana SHILAWADU, subiri kuitwa mchochezi mkuu
Ni ajabu na kweli yaani umbea mpk unaundiwa chama chake?ajabu wanaume nao wamoSalaam wana mmu!!
UMBEA ni kitendo cha kuzungumza Habari za mtu kwa mtu mwingine tena zisizokuhusu!!!
Kwa Bahati mbaya habari hizi huwa si njema....mara nyingi umbea huwa ni uzushi au uongo... Huwa mara nyingi zinazungumzia upande mbaya Kuhusu mtu....
Umbea unaweza fanywa na mtu Au vyombo vya Habari....
Lengo kuu la umbea ni kutafuta upendeleo.... Au biashara...
Nchi yeyote yenye umbea maendeleo huwa ni duni....
Nimefanikiwa kutembea nchi mbalimbali duniani nikabaini Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wake wana muda wa kutosha kuwasema Au kuwajadili watu wengine ambao kwa namna moja Au nyingine tunawaita wambea...
Kikubwa zaidi SHIRIKA LA WAMBEA DUNIANI limeasisiswa Tanzania..
My take:mashirika ambayo ni yakimaendeleo yanayoanzishwa Tz huwa yanakufa kwa Haraka Ila hili ni shirika ambalo Haliwezi kufa coz wanaolisapoti ni wengi mno....
Binafsi nakwazwa na hii tabia na kamwe Usitarajie Kuona mbea akifanikiwa.