chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,087
- 1,022
Kweli ubunifu wa kukamkandamiza gwajima na kuvamia clouds anaoViongozi wengi hawana ubunifu wa Makonda, nchi inahitaji viongozi wengi wa aina yake
Kweli ubunifu wa kukamkandamiza gwajima na kuvamia clouds anaoViongozi wengi hawana ubunifu wa Makonda, nchi inahitaji viongozi wengi wa aina yake
aisee watu mna majibu[emoji23][emoji23]Makonda yuko Tabora ni mtangazaji wa redio moja huko,Huyo unayemzungumzia ni Daudi Albert Bashite!
Umeshasoma albadili lakini?Akili yako imejaa matope, kiasi ambacho unakuja kusifia hopeless people hapa.
Mpiga domo wenu t.lisu ndo anahistoria Ya kukamilisha mambo aloyaanzishaHuyu jamaa ana historia ya kutokamilisha mambo anayoyaanzisha. Ni mapema sana kwa sasa kusema lolote.
Hawa jamaa ni majanga mkuu, wanamtazamo wa kuku, hawaoni upande mwingine ila ni makosa tu!Mpiga domo wenu t.lisu ndo anahistoria Ya kukamilisha mambo aloyaanzisha