Tunaweza tusikubalie na kila jambo linalomhusu Paul Makonda, lakini ni vigumu sana kutokubaliana na mambo mawili makubwa, ubunifu na uthubutu wa Paul Makonda. Mambo haya mawili ni adimu sana kwa viongozi wa sasa. Ukarabati wa magari ya polisi na suala la kuwaweza watumishi kupata viwanja vya makazi ni mambo machache mno katika mengi ambayo amethubutu kuyafanya au yapo kwenye mchakato wa kufanywa.
Natamani sana Mh. Makonda apewe nafasi ya kitaifa ili wananchi wengi wafaidike na ubunifu wake.
Natamani sana Mh. Makonda apewe nafasi ya kitaifa ili wananchi wengi wafaidike na ubunifu wake.