Nchi inaendeshwa Kisela sela sana

We mbwa koko we katulize makalio kafanye vibarua vyako vya kubeba maboksi, hakuna mchaga mwenye akili mmejaa roho ya ubaguzi, huna akili umejaa arrogance wakati ni mpumbavu moja tu unaokoteza vibarua huko. Mburukenge kwl
Akili ni mazo and you can see that
 
Sasa speaker ulitaka asiwe na chama?? Kama sio usenge huu ni nini?
 
nchi sio yetu tena, ni tusubir ukombozi tu
 
Awe neutral, tatizo umekariri

Fault finder , umeona hilo tu
Sasa ulitaka nitafute mazuri nikusifie?Mjadala ungetoka wap? Kwan Mike Johnson yupo neutral? Au Samuel Sitta? Mwisho kubali umekosea rekebisha toa hilo neno kada weka neutral japo hakunaga speaker ambae yuko neutral sana lazma awe upande wake kinamna gan lkn Lango amezidi amekua chombo cha mapambio
 
WA....WACHOKONOZIII๐Ÿ™Œ
 
Kwan hujaona akimtambulisha boss wake

Nyie Raia hamjqwqhi kuwa boss , ndio maana mnatekwq na kuuliwa

Unaweza Kim team boss wako ?
๐Ÿ™‹๐Ÿ‘‹โœ๏ธ๐ŸŽฏ๐Ÿ‘๐Ÿ‘Š๐Ÿ‘๐Ÿค๐Ÿ™
 
Usishangae hata mgombea urais wa CCM kapatikana kisela sela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ