Father Kitima ana kadi ya CCM.Viongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo watu ambao wanapaswa kuwa independent entities kumbe ni MAKADA; DG anaesimamia Uchahuzi
Ni Kada wa CCM ,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Jaji Mkuu ni Kada wa CCM,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo IGP kama Siro ni kada wa CCM:
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Speaker ni Kada wa CCM ,
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kuna Mkuu wa Mkoa. mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM and presidential appointments , Hizo ni nafasi zinapaswa kuwa za kiutumishi na kila Mtanzania mwenye sifa aweze kuzi access ….. badala yake ni nafasi za makada wa CCM kulinda vyeo vyao
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo Rais Hawezi kushitakowa kwa Ufisadi alioufanya na kundi lake
Kauli za kuita katiba ni kijitabu tusinge sikia….. yaani kiongozi wa nchi Anachukulia poa KATIBA iliyosimamiwa kuhakikisha anakaa madarakani, inashangaza sana.
Katiba ndio inaleta amani na utulivu, sio Quran au Bible…. Ni kukosa uelewa wa mambo tu ;
Ndio maana kwenye kuapa aliapa kwa kusema nitailinda Tanzania kwa mujibu wa Katiba na sio kwa mujibu wa Quran au Biblia. Viongozi kabla ya kufika juu, wafundishwe kwanza somo la katiba. Unaongozaje nchi hujui thamani ya katiba, Strange!
Kulinusuru Taifa, CONSTITUTIONAL REFORMS ni mandatory tena ni ile KATIBA ya warioba and not otherwise
Heshima kubwa sana kwa CHADEMA, uchaguzi wa kisela umepitwa na wakati, sasa ni wakati wa reforms nchi itoke kwenye utawala wa drama drama na Usela huku wachache wakinenepeana kama vifurushi.
It is now or never
Dr Ndesaruo Mushi
Ottawa, Canada
Hata mimi nina kadi ya ccm lakini sifagilii ujinga.Father Kitima ana kadi ya CCM.
Ukiniambia Lissu ana kadi namba ngapi ya Chadema mi nitakupa za Fr. Dr. Kitima.Namba ngapi?
Ulimpa wewe?Father Kitima ana kadi ya CCM.
Namfahamu Fr. Dr. Kitima tangu 2005. Miaka 20 iliyopita enzi hizo anakaa kijiweni kwa mama mchoma mahindi pale jirani na SAUT MAIN CAMPUS ile ya zamani. Wakati huo akiwa Corporate wa SAUT. Unajua maana ya Corporate lakini?Ulimpa wewe?
Taja card #:yake,mtoto wa kiume unaandika kama umekalia kipande cha nyama ngumu bwana!
Acha maneno mengi,nimekuuliza hiyo kadi ya chama ccm ulimpa wewe?Namfahamu Fr. Dr. Kitima tangu 2005. Miaka 20 iliyopita enzi hizo anakaa kijiweni kwa mama mchoma mahindi pale jirani na SAUT MAIN CAMPUS ile ya zamani. Wakati huo akiwa Corporate wa SAUT. Unajua maana ya Corporate lakini?
Kua na kadi haina maana unafurahia kila jambo hata baya wewe twende tu praise & worshipHata mimi nina kadi ya ccm lakini sifagilii ujinga.
Hayo ni maswali ya kijinga kutoka kwa mtu mjinga.Acha maneno mengi,nimekuuliza hiyo kadi ya chama ccm ulimpa wewe?
Unaandika vitu usivyoweza kuvithibitisha mwisho utuone watu humu tunafanya uhuni.
Wenye akiliNamfahamu Fr. Dr. Kitima tangu 2005. Miaka 20 iliyopita enzi hizo anakaa kijiweni kwa mama mchoma mahindi pale jirani na SAUT MAIN CAMPUS ile ya zamani. Wakati huo akiwa Corporate wa SAUT. Unajua maana ya Corporate lakini?
CrapViongozi wa dini wenye akili timamu kama TEC wameweka wazi MSIMAMO wao na tunaujua.