Kaka una haraka ya kukosoa wenzako, na kuleta umbea hapa....huku unajisahau kuwa hata wewe ni binadamu....em tuambie wewe umekosea au upo sawa katika hayo maneno machache?? usiwe na haraka kijana...taratibu, kila mtu ameona ulichoona......lakini ni hoja isiyo na mashiko makosa ya tbc ukaconclude kama ulivofanya wewe....taratibu ndo mwendo