Nchi "imetekwa" Tuamke.

Nchi "imetekwa" Tuamke.

Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.

Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye sebure za ikulu zetu kilasiku.

1. Alianza Mpango akatolewa akaambiwa kaa kimya.
2. Majaliwa kasimu akaambiwa asigombee akae kimya.
3. Simbachawene, Tulia aksoni, Ndugai, Lukuvi, Akina Biteko na wote wamenyamazishwa.
4. Polepole, Magufuli, Lukuvi walitumiwa kujenga mfumo baadae wakatoka kwenye vifo tata kabisa.
Kama wote wenye akili wametulizwa tuli. Rungu wakaachiwa akina. Mwigulu na Makonda nao wanaaminishwa makubwa lkn wakiwamaliza wenzao ndio basi tena na wao wanapitishwa njia ile ile.

Tulia aliifanyia nini CCM na sasa yuko wapi?

Ni wakati wa wanaCCM kuamka usingizini NCHI NI KAMA INATEKWA KIMYA KIMYA HII.
ccm ni genge... Halihitaji kura za wananchi kufanya maamuzi yake!
 
Nyie Chadema hizo siasa zenu za kujenga chuki na kuwachonganisha viongozi na wananchi ...badala ya kujenga hoja hazitawasaidia KAMWE. Mnaonekana ni vihio wote
 
Kuna clip moja inaonesha how issue ya Adm na Hawa eden haikuwa tunda la kati bali ilikuwa dhana ya Mwanamke kutaka madaraka kumzidi mwanaume na kusahau ya kuwa mwanaume ndiye kiongozi wake(alikotoka ubavuni mwake)

Mwanamke akipata madaraka asipojua nafasi yake hugeuka kuwa mshirika wa shetani

And the devil's mission is to steal, kill and destroy.

Ndo kinacho endelea katika taifa hili.
 
Huyo Ndugai, Tulia, Simbachawene, Lukuvi walikuwa na nini cha maana cha kubadili Tanzania? Wanasiasa wanafanyiana ulafi na kufukuzana tu, hakuna mwema
 
Naamini barua kaandikiwa huyo na naamini ata hajaisoma. Na sahihi kawekewa
 
Ninaanza kupata wasiwasi pengine mama ni kiongozi sahihi.

i) Miladi iliyoanzishwa inakamilika
ii) Waliodaiwa kua wanamtandao wanawekwa pembeni

Je mama anakomboa nchi?
 
Kama kila Kiongozi anayetaka kutumia akili zake anafukuzwa au kutolewa kwenye mfumo kimya kimiya tusipoamka sasaivi basi Tumekwisha.

Ata Samia angesimamia 4R kwa ukweli Wangemuondoa. Naamini kuna genge Kusini mwa Africa limefanikiwa kuteka kabisa hizi nchi.
Haya Matajiri yasiyoisha kwenye sebure za ikulu zetu kilasiku.

1. Alianza Mpango akatolewa akaambiwa kaa kimya.
2. Majaliwa kasimu akaambiwa asigombee akae kimya.
3. Simbachawene, Tulia aksoni, Ndugai, Lukuvi, Akina Biteko na wote wamenyamazishwa.
4. Polepole, Magufuli, Lukuvi walitumiwa kujenga mfumo baadae wakatoka kwenye vifo tata kabisa.
Kama wote wenye akili wametulizwa tuli. Rungu wakaachiwa akina. Mwigulu na Makonda nao wanaaminishwa makubwa lkn wakiwamaliza wenzao ndio basi tena na wao wanapitishwa njia ile ile.

Tulia aliifanyia nini CCM na sasa yuko wapi?

Ni wakati wa wanaCCM kuamka usingizini NCHI NI KAMA INATEKWA KIMYA KIMYA HII.
mbona wanaondolewa ni Wakristo tu..........kuna ajenda ya siri?
 
Hivi kweli CCM ilikosa mwanaume Mtanganyika kugombea urais hadi kutuletea mwanamke kutoka nchi jirani ya Zanzibar?
 
Ninaanza kupata wasiwasi pengine mama ni kiongozi sahihi.

i) Miladi iliyoanzishwa inakamilika
ii) Waliodaiwa kua wanamtandao wanawekwa pembeni

Je mama anakomboa nchi?
Unachekesha. Kila anayekohoa anatolewa
 
Back
Top Bottom