Una kichaa kichwani,punguza kunywa gongo uliyohalalishiwa na padri slaa,ipo siku atahalalisha kuoa wake zenu makada wake.
Tunajadili mafuriko, mgomo wa wafanyabiashara, kupanda kwa umeme na maji, wewe unaleta habari za porojo za Slaa. Una akili timamu?
Tunajadili mafuriko, mgomo wa wafanyabiashara, kupanda kwa umeme na maji, wewe unaleta habari za porojo za Slaa. Una akili timamu?
Bro,kuna wengine wamepitiliza kuwa wafuasi wa vyama....ni kweli ni wa kuwapuuza na hii inanipa hofu ya mustakabali wa katiba
Huu ndio ushabiki wa vichaa kushangilia hata vitu wasivyoviona!Una kichaa kichwani,punguza kunywa gongo uliyohalalishiwa na padri slaa,ipo siku atahalalisha kuoa wake zenu makada wake.
Bro,
Pointi ulizoleta ndizo zinagusa taifa kwa sasa. Mgomo wa wafanyabiashara umetuathiri wengi sana. Mafuriko yametuharibia barabara na umeme haushikiki. Tukiwa tunajadili haya masuala na athari zake kwa uchumi, mtu anahamisha mada. Ningemuwa mod ningem-ban kwa masaa kadhaa!
Umeandika uzi huu ukiwa tayari umekunywa chai iliyotengenezwa kwa nishati ya umeme.Awali ilikua nikiangalia taarifa ya Habari ni majanga tu kuhusu machafuko/vita/mauaji ya kimbari/ugaidi etc; sasa hivi naona kibao kimetugeukia, jana niliangalia taarifa ya habari ITV
- Wafanyabiashara Wanalalamikia EFD/maduka yamefungwa karibu nchi nzima
- Wakulima Wanalalamika Bei Ndogo ya Korosho/Pamba etc
- Wasafirishaji wanagomea kushushwa kwa nauli-Songea
- Wananchi wanalalamika umeme bei juu na wengi wamewasha taa kwa nusu mwezi tu (giza nyumba nyingi) na Guest/Lodge/Hotel vyumba vimepanda bei
- Mafuriko/Barabara zimekatika kuunganisha mikoa ya Kaskazini
- ........................................................
Najiuliza tunaekea wapi?
- Mkuu wa Nchi yupo nje ya Nchi
- Makamu wa Rais yupo bize na Katiba
- Mawaziri (Fedha) wako kwenye kampeni za siasa
- Wenye nchi (Chama) wanahojiana Dodoma -tena wamewaita mawaziri etc
- ......................................................
Je Nchi Imesimama?
Bro,
Pointi ulizoleta ndizo zinagusa taifa kwa sasa. Mgomo wa wafanyabiashara umetuathiri wengi sana. Mafuriko yametuharibia barabara na umeme haushikiki. Tukiwa tunajadili haya masuala na athari zake kwa uchumi, mtu anahamisha mada. Ningemuwa mod ningem-ban kwa masaa kadhaa!
Umeandika uzi huu ukiwa tayari umekunywa chai iliyotengenezwa kwa nishati ya umeme.
Chai uliyokunywa imekolezwa na sukari ya kilombero
Sukari hiyo imeletwa katika barabara zilizo karabatiwa na srikali ya CCM
Na kama umekula kamhogo , kamefika hapo kwa magari yaliyotumia diesel ambayo haijapanda bei muda sasa
unaandika uzi huu baada ya kuchaji ka samsung kao au kompyuta mpakato ofisini- kwa nishati ile ile
Zaidi ya hapo, pengine huna mipango yoyote ya kipato cha ziada, kana mtadi vile
Walia zaidi kwa kunyoosha mikono kama Matonya ili kipato kiongezwe kwa kutokana na kodi
Mimi niko likizo lakini nina uhakika wewe ukiwa kazini unatumia muda wa mwajiri wako,unamwibia!
Tatizo kubwa zaidi la Watanzania ni kutojua jinsi ya kujikomboa kiuchumi, hivyo macho yote yako kwenye siasa.
Tupe somo mkuu achana na hawa mafa.la yamejaza pumba za ccm vichwani mwao
mwakaila sijakusoma kabisa