Sikuelewi unakataa nini unakubali nini hapo juu kuna sehemu imeandikwa ni mchango wa nini?
Mimi muumini nikiamua binafsi kwa mapenzi yangu kumwezesha Askofu kama rafiki yangu kamati tendaji haihusiki na hiyo hela na hizo pesa za Ruge hazikuwa officially kwa Kanisa hata zingekuwa zisingekataliwa hapa angalia hekima iliyotumika kuzirudisha
Mwingine hata ningekuwa mimi nisingerudisha hata kumi,mtu ana biashara zake unathibitisha vipi alizonipa mimi ndizo alizokuibia hakuzitoa kwenye faida ya biashara zake?