wana jf kwa kweli tangia nizaliwe sijapata shinda ndani ya wiki moja kama wiki hii. nilikumbwa na msukosuko wa mabomu nikakaa mbali na home kwa siku tatu. leo nimetoka nikaenda kituo cha mafuta wakaniwekea mafuta machafu gari yangu ninayoitegemea imekufa engine sijui nianzie wapi? kwa kweli nchi imefika pabaya