Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
CCM mwaka huu hawana pa kutokea. Wajiandae tu kukabidhi ikulu kwa TL mapema sana.
 
Wewe bila shaka una kinyongo na Magufuli yawezekana ulikua hulipi kodi au ulikua na cheti hewa ukatumbuliwa au ulikua unafanya biashara za magendo.
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri wake wewe unapata Rushwa kupitia blackmail ulizowafanyia watu kupitia udikiteta wake umejinufaisha kwa kuwatisha watu ndiyo maana unamtetea mtukufu juu ya matendo yenu haramu ya kishetani
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ndio maana amekata tiketi ya kurudi kwao baada ya Uchaguzi
 
Na hii ndiyo hali halisi ya the so called DAY DREAMING! Asante kwa kunithibitishia kuwa kuna NDOTO ZA MCHANA!
 
Wewe bila shaka una kinyongo na Magufuli yawezekana ulikua hulipi kodi au ulikua na cheti hewa ukatumbuliwa au ulikua unafanya biashara za magendo.
Magendo yapo CCM Ndungai kula bilion 12 peke yake akiwa India ni magendo kula 10% kwenye miradi ya kifisadi kuanzia ujenzi wa reli SGR bwawa la umeme flyover na miradi yote mikubwa ni magendo hayo kama ulikuwa hujui utawala huu kuna ufisadi kuliko Tawala zote zilizopita tokea Nchi ipate uhuru.hana pasipo na ufisadi kote kuna majanga na kibaya zaidi ni kuiba trilion 1,5 kisha wakamtoa CAG kafara huku ununuzi wa Ndege kwa cash ukibugikwa na ufisadi mkubwa kuliko zote Nchini
 
Bora hata ya mkoloni mweupe alimtendea wema mwafrika kuliko Hawa wakoloni weusi. Idadi ya waafrika waliouliwa na watawala wa kiafrica ni kubwa Sana kuliko hata idadi ya waafrika waliouliwa na wakoloni weupe
 
Tunaenda kuagana,na maadui wa uhuru na haki na hiyo ndio chanzo cha furaha yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…