Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
Ni kweli, nimesikia watumishi jana wanasema speed ya kulipa salary tarehe 19-22 kila mwezi imegoma this time hali siyo shwariwazi kuwa nchi sasahivi inajiongoza tu automatic, kila mtumishi wa serikali analamba asali kama walivyolekezwa na kiongozi wa Chama Chao tawala, wakurugenzi wanapiga, wakuu wa wilaya na mikoa wanapiga, wakandarasi na mafundi kwenye miradi wanajipigia tu, tunachosubiri ni kuona tunapoenda kuangukia
🤣😂 Mama mpaka afike 2025 yatarudi yaleyale ukiweka CCM na mbuzi basi kura zitapigwa kwa mbuziNi kweli, nimesikia watumishi jana wanasema speed ya kulipa salary tarehe 19-22 kila mwezi imegoma this time hali siyo shwari
Mpaka afike au imeshafikia hiyo hatua?🤣😂 Mama mpaka afike 2025 yatarudi yaleyale ukiweka CCM na mbuzi basi kura zitapigwa kwa mbuzi
kwahiyo wao wapone kwa kufidia gaps wengine wafe tu.....hii si sawaJamani kuweni tu wapole. Watu wanafidia magepu.
🤣😂🤣😂 Mama mpaka afike 2025 yatarudi yaleyale ukiweka CCM na mbuzi basi kura zitapigwa kwa mbuzi