Nchi haina wazee wanaoshauri?

Alisema mwenyewe anataka vijana wazee waliifilisi nchi. Sisi wazee hatusikilizwi wacha vijana wachape kazi.
 
Hahahah nimecheka sana
 
Kumbukeni hata mateja yana zeeka, siyo kila mzee ana busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…