silver_back
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 832
- 813
Australia na new zealand zinaitangulia indonesia, indonesia ni saa kumi na moja kwetu wakati australia ni saa saba mchana kwetu wao wanaingia mwaka mpya.
Australia na new zealand zinaitangulia indonesia, indonesia ni saa kumi na moja kwetu wakati australia ni saa saba mchana kwetu wao wanaingia mwaka mpya.
Mkuu, ulipochomeka kichwa chako ni sehemu yako mwenyewe ya kutolea kitu wanaita unwanted body materials, chomoa kichwa chako mkuu.Hili limekwamishwa na upinzani, mwaka mpya tungeuona tangia jana, Magufuli kazia hapo hapo hadi Chadema wapate akili... Hili la mwaka mpya limecheleweshwa na upinzani.... Hahahh
ungepita kimya kimya,ungekua muungwana zaidiVery simple! angalia world clock unapata jibu mwenyewe, maswali mengine hata sio ya kuleta humu yani
Sent using Jamii Forums mobile app