Nchi gani hapa Afrika Mashariki ungependelea Kuishi?

Wickama

JF-Expert Member
Mar 8, 2009
1,466
1,195
Wana JF,

Afrika Mashariki (Jumuiya) inajumuisha Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi. Kwa wakati tofauti, Sudan Kusini, Ethiopia na Somalia zilishaonyesha shauku ya kujiunga. Nchi hizi zina tabia, watu, miundo mbinu, hali ya hewa, raslimali na siasa tofauti. Wewe ukipewa chaguo ungependa uishi nchi gani hapa Afrika mashariki? Una sababu zozote?


Map-of-East-Africa.gif
 
Back
Top Bottom