Nchi au mataifa kumi (10 ) maskini

Nchi au mataifa kumi (10 ) maskini

tanzania haimo dah inamaana hata niger ni nchi masikini siamin naunga mkono hoja leta chanzo
 
Mkuu tupo humo humo ,sema maskin nao wanazdiana hatuna tofauti nao tunajipa moyo wakati hali halisi inajulikana,tunaona wenzetu maskn wakati sisi wenyewe hali ni mbaya,mi siamin kama nchi kama Zimbambwe ni maskin,mfumo wao wa elimu ndio best katika Afrika,hawa jamaa wako kwenye kipndi cha mpito cha hali ngumu ya uchumi lakn watakuja kurecover.
 
NAMBA NCHI;

10. TOGO
9 MALAWI
8. SIERRA LEONE
7. NIGER
6. CENTRAL AFRICA REPUBLIC
5 ERITREA
4. BURUNDI
3. ZIMBABWE
2 LIBERIA
1. DRC

Top 10 Poorest Countries in Africa
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).

Infact uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu sana huwezi kuamini mpaka mataifa makubwa tajiri yanashangaa sana kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania, The big problem is how to redistribute this income to individuals, huu uchumi unarubuniwa na kuishia kwenye mikono ya watui wachache wenye roho za ubinafsi wasiokuwa na hata chembe ya huruma kwa wananchi wengine, mfano mdogo tu angalau mapesa ya escrow watu walivyo gawana kirahisi sana mahela kibao.

Lakini kama huu uchumi ungefanya kazi moja kwa moja kuleta maendeleo ya nchi na kwa wananchi kwa ujumla nakwambia hii nchi ingekuwa zaidi ya Africa Kusini. Tatizo kubwa ni rushwa na nchi yetu inashika nafasi za juu sana kwenye mambo ya rushwa
 
Zimbabwe akiondoka Mugabe wanatoka hapo
Burundi wanahitaji stability tu ya five years kutoka humo

halafu kuna somalia ambayo naamini data hazikuwa available
so Tanzania tuko humo kiaina
 
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).

Mkuu hivi kwenye Bold hapo kweli kuna mtu anayeijua vizuri NIGER na anawasiwasi juu ya kuwepo kwa nchi hiyo kwenye BOTTOM 10?
 
Jaribu kuipitia post zote ndiyo utajua vizuri, mimi mwenyewe nimeshangaa kwanini watu wamejiuliza hivyo
 
Watu wanajiuliza kwanini tanzania haipo kwenye list pia wanajiuliza kwanini Niger imeingia kwenye list ?. Binafsi naweza kusema hivi Tanzania uchumi wake unakuwa kwa sana lakini ukuaji wake wa uchumi hauendi sambamba na ukuaji wa maendeleo ya nchi, kwa kimombo changu duni naweza kusema ( There is no relationship between Economic Growth and Economic Development in Tanzania).

Infact uchumi unakuwa kwa kasi ya ajabu sana huwezi kuamini mpaka mataifa makubwa tajiri yanashangaa sana kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania, The big problem is how to redistribute this income to individuals, huu uchumi unarubuniwa na kuishia kwenye mikono ya watui wachache wenye roho za ubinafsi wasiokuwa na hata chembe ya huruma kwa wananchi wengine, mfano mdogo tu angalau mapesa ya escrow watu walivyo gawana kirahisi sana mahela kibao.

Lakini kama huu uchumi ungefanya kazi moja kwa moja kuleta maendeleo ya nchi na kwa wananchi kwa ujumla nakwambia hii nchi ingekuwa zaidi ya Africa Kusini. Tatizo kubwa ni rushwa na nchi yetu inashika nafasi za juu sana kwenye mambo ya rushwa

Ni kweli mkulu. Huwezi linganisha Niger na Tanzania..... Tanzania tupo mbali sana kimaendeleo.... Nimetembea nchi hizo.... Mali nayo ni shidaa, hata Nigeria ukienda northern part ni balaaa.

Kwa sasa nchi ambazo zinapiga hatua. ni za kusini magharibi.... Botswana, Namibia, Angola.
 
Nchi hii ina binadamu wa ajabu sana ...

Mtu kaweka na link hapo lakini bado wanauliza chanzo ....!!

Lol!,...mkuu si mpaka tuone neno lenyewe SOURCE!, otherwise kama halipo tutarusha hata ngumi mpaka kieleweke!
 
Khaaa! Mbona kenya haipo? Wanakibera lazima wamo kwa list
 
Zimbabwe sio masikini wameiweka kwa ajili.ya.kukomoa tu
 
Kweli kaka hyo tunaiita chuki binafsi.... nchi za magharibi zinatamani kuona Zimbabwe ikizama na kudidimia kabisa....
Rejea jana tu Obama ameongezea muda vikwazo kwa Rais Mugabe....
 
Back
Top Bottom