haya sema wewe katika hiyo orodha tutoe nchi gani ili tuingize TANZANIAPamoja na kunyofoa kucha na kope bila ganzi eti ni nchi salama siamini
duh na kope..!!Pamoja na kunyofoa kucha na kope bila ganzi eti ni nchi salama siamini
itoe Russia uweke Tanzania.haya sema wewe katika hiyo orodha tutoe nchi gani ili tuingize TANZANIA
Wakati kila kukicha mnagombania muende!Mi ningeanza na marekani
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
Naona nchi nyingi ni zileeee za ndugu zetu katika imaniKwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
- 15. Nigeria
- 14. North Korea
- 13. Russia
- 12. Democratic Republic of the Congo
- 11. Pakistan
- 10. Libya
- 9. Sudan
- 8. Ukraine
- 7. Central African Republic
- 6. Yemen
- 5. Somalia
- 4. Afghanistan
- 3. Iraq
- 2. South Sudan
- 1. Syria
Kule kuna uhuru wa kuabudu?Mi ningeanza na marekani
Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??
Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list
Zingekuwepo sema kwa vile scope ya reportes ni 15 Burundi hayupo kwenye 15 bora. Wangeendelea ungekuta pengine ya 16Baragash heshima yako mkuu..
Naomba niseme hivi, mara moja moja tunatakiwa tuuutazame ukweli jinsi ulivyo, sio kila kinachifanywa na nchi za magharibi ni propaganda.. Kuna nchi gani hapo iliyoonewa kuwa kwenye list??
Nashangaa tu nchi kama Burundi, Iraq, Afghanstan na Mexico zimekosaje kuwa kwenye hiyo list
russia ibaki hapohapo sema uki plus USA ndo list inakamilika maana haingii akili nchi ambayo watu wanauawa kwa kupigwa risasi Kuliko nchi yoyote ilioendelea duniani ikosekane kwe hii listKwa Russia ni propaganda ndomaana hii report haiwezi kuaminika
Swali je ni Salama au si Salama? Kuna amani au hakuna amani? Hapo haiongelewi chanzo cha hiyo migogoro..Libya na DRC, zinafitishwa na hao wa magharibi halafu leo wanatuambia si salama, wanafiki ile mbaya.
Mbona Marekani yenye bifu na mataifa mengi haijawekwa kwenye hiyo orodha?Kwa mujibu wa Ripoti iliochapishwa tarehe 8 Juni, 2016 na "the global think tank Institute for Economics and Peace" imeyatathmini mataifa kwa kuangalia viashiria 23 vya amani katika makundi matatu.Nayoni:-
1. Kiwango cha usalama
2. Mizozo ya kimataifa
3. Kurundikana kwa majeshi
Matokeo ya tathmini hiyo ni kama ifuatavyo
Je, hii ni propaganda za nchi za magharibi au tathmini inanukia ukweli?
- 15. Nigeria
- 14. North Korea
- 13. Russia
- 12. Democratic Republic of the Congo
- 11. Pakistan
- 10. Libya
- 9. Sudan
- 8. Ukraine
- 7. Central African Republic
- 6. Yemen
- 5. Somalia
- 4. Afghanistan
- 3. Iraq
- 2. South Sudan
- 1. Syria